Unataka ushahidi wa alivyolikana taifa lake la Gabon ndugu mtanzagiza?Ukileta ushahidi wa Pierre kuikana Afrika nipigwe Ban.
Wamepewa wote watatuAtapewa mane sababu yeye magoli yake yote hakuna la penati
Utapewa wewe.Sasa hapo nani atachukua golden boot?
Kwangu Ni samuel etoo pekee ndio jamaa amekuwa anajitoa mnoo kwa taifa lakeUsimsingizie, waafrika wote wapo kimaslahi, muulize diof atakwambia
Huwa wanajiumiza makusudi wasichezee timu zao za taifa maana maslahi madogo,
Ni wachache wanaojitoa 100%
Mkuu hebu weka hii alipojinadi kuwa yeye ni mfaransa hawezi kuchezea gabonNimemsingizia nini mkuu? Kwamba hajawahi kukataa kuchezea taifa lake la Gabon na kujinadi kuwa yeye ni mfaransa ama?
Kwa sheria IPI?Atapewa mane sababu yeye magoli yake yote hakuna la penati
Akileta nitagUkileta ushahidi wa Pierre kuikana Afrika nipigwe Ban.
Kwanin asipewe aubameyang mwenye uwiano mzuri wa magoli na dakika alizocheza uwanjaniAtapewa mane sababu yeye magoli yake yote hakuna la penati
Kwanini salah na isiwe mane ama pierre!?Salah atapewa
Wote wamepewa, golden boot mkifungamana wote mnapata.Sasa hapo nani atachukua golden boot?
Pia hawa wote ni vijana wa Africa, Africa moja, Hongereni waafrika wote.Niwape pongezi za ukweli Manchester City kwa kutwaa ubingwa season hii 18/19. Hakika ushindani umekuwa mkubwa sana, Liverpool akomae na CL huenda akajipoza kule.
Back to mada siku ya mwisho wa ligi naona leo wameongezeka wafungaji kutoka club 2 na kumfikia MO Salah;
1. Mohamed Salah (LIV) 22 goals, 8 assists
2. Pierre-Emerick Aubameyang (ARS) 22 goals, 5 assists
3. Sadio Mane (LIV) 22 goals, 1 assist
Kimsingi wote wanastahili kupata golden boot maana ni magoli ndo kigezo pekee. Hongereni kwa kazi nzuri vijana wa EPL
Wanakataakucheza kutokana na ubadhilifu wa viongozi kwa wachezaji kwenye timu za kiafrica...hilo swala mbona wanalizungumza sana tu...binafsi namuona Aubameyang kama mzalendo kwani kwa uwezo wake simuoni akikosa namba kwenye kikosi cha taifa cha Ufaransa.Hajawahi kujinadi yy mfaransa ,japokuwa yy kakulia ufaransa,
Kukataa kuchezea timu ya taifa wanakataa wengi tu, maana wanaona hazina faida, hata kina matip waliikataa Cameroon,
Atautoa wapi?haupo uo ushahidi.Leta ushahid akijinad yy ni mfaransa na sio mgabon
Kwanin asipewe aubameyang mwenye uwiano mzuri wa magoli na dakika alizocheza uwanjaniKwanini salah na isiwe mane ama pierre!?Wote wamepewa, golden boot mkifungamana wote mnapata.
Thamani ile ile.Wamepewa wote hiyo golden boot kwa thamani ile ile ambavyo ingetakiwa kwa mchezaji m1 pekee au wamegawiwa kila m1 kwa mgawanyo wa thamani iliyokuwa imepangwa kwa mchezaji m1 pekee?
Thamani ile ile.
Usimsingizie, waafrika wote wapo kimaslahi, muulize diof atakwambia
Huwa wanajiumiza makusudi wasichezee timu zao za taifa maana maslahi madogo,
Ni wachache wanaojitoa 100%
Wanakataakucheza kutokana na ubadhilifu wa viongozi kwa wachezaji kwenye timu za kiafrica...hilo swala mbona wanalizungumza sana tu...binafsi namuona Aubameyang kama mzalendo kwani kwa uwezo wake simuoni akikosa namba kwenye kikosi cha taifa cha Ufaransa.