EPL Golden boot 2018/19

EPL Golden boot 2018/19

Nimemsingizia nini mkuu? Kwamba hajawahi kukataa kuchezea taifa lake la Gabon na kujinadi kuwa yeye ni mfaransa ama?
Mkuu hebu weka hii alipojinadi kuwa yeye ni mfaransa hawezi kuchezea gabon

Ishu ni huku afrika timu zetu mizengwe mingi, fatilia hili utaelewa.
 
Atapewa mane sababu yeye magoli yake yote hakuna la penati
Kwa sheria IPI?

Wamepewa wote.,

Auba chake hiki hapa
arsenal_bongo-20190512-0001.jpeg
 
Niwape pongezi za ukweli Manchester City kwa kutwaa ubingwa season hii 18/19. Hakika ushindani umekuwa mkubwa sana, Liverpool akomae na CL huenda akajipoza kule.

Back to mada siku ya mwisho wa ligi naona leo wameongezeka wafungaji kutoka club 2 na kumfikia MO Salah;

1. Mohamed Salah (LIV) 22 goals, 8 assists
2. Pierre-Emerick Aubameyang (ARS) 22 goals, 5 assists
3. Sadio Mane (LIV) 22 goals, 1 assist

Kimsingi wote wanastahili kupata golden boot maana ni magoli ndo kigezo pekee. Hongereni kwa kazi nzuri vijana wa EPL
Pia hawa wote ni vijana wa Africa, Africa moja, Hongereni waafrika wote.
 
Hajawahi kujinadi yy mfaransa ,japokuwa yy kakulia ufaransa,

Kukataa kuchezea timu ya taifa wanakataa wengi tu, maana wanaona hazina faida, hata kina matip waliikataa Cameroon,
Wanakataakucheza kutokana na ubadhilifu wa viongozi kwa wachezaji kwenye timu za kiafrica...hilo swala mbona wanalizungumza sana tu...binafsi namuona Aubameyang kama mzalendo kwani kwa uwezo wake simuoni akikosa namba kwenye kikosi cha taifa cha Ufaransa.
 
Wamepewa wote hiyo golden boot kwa thamani ile ile ambavyo ingetakiwa kwa mchezaji m1 pekee au wamegawiwa kila m1 kwa mgawanyo wa thamani iliyokuwa imepangwa kwa mchezaji m1 pekee?
Kwanin asipewe aubameyang mwenye uwiano mzuri wa magoli na dakika alizocheza uwanjaniKwanini salah na isiwe mane ama pierre!?Wote wamepewa, golden boot mkifungamana wote mnapata.
 
Mpaka ukiona Waafrika wanachkua ufungaji bora kwenye ligi tena kwa mkururu kama hivo ujue hapana ligi Hapo.
 
Usimsingizie, waafrika wote wapo kimaslahi, muulize diof atakwambia

Huwa wanajiumiza makusudi wasichezee timu zao za taifa maana maslahi madogo,

Ni wachache wanaojitoa 100%

Africa tuna matatizo sana, siasa zinaathiri sana mpira wetu.

Imagine, FIFA inatoa hela, viongozi wanazipiga, wachezaji ambao ndiyo wanaofanya kazi wanalipwa kiduchu au wanakopwa, halafu tunataka wawe wazalendo.

Auba amewahi mara kadhaa kulalamikia treatment ya national team, na akasisitiza marekebisho.

Kumbukeni ajali ya Togo kushambuliwa wakielekea Angola, kumbukeni ilikuwa Ghana au Nigeria kwenye WC iliyochezwa Brazil walibaniwa hela yao mpaka wakagoma, hela ikasafirishwa physically.

Mara kadhaa wachezaji wanaumia wakiwa timu za taifa halafu taifa linawatelekeza wanalazimika kujitibu au kutibiwa na club zao, kumbukeni George Masatu aliwahi kuumia akiwa na Taifa Stars game vs Ghana, Taifa Stars wakajiweka pembeni kwenye matibabu.

Mara kadhaa wakati George Weah akiwa ni mchezaji, gharama za timu nzima alikuwa anazibeba yeye, kuanzia posho, malazi, usafiri nk (he probably was on a political mission), lakini that is disgrace kwa taifa.

Nigeria wamekuwa mara nyingi wana ubaguzi wa Kaskazini na Kusini kwenye kikosi cha taifa.

Kwa issue kama hizi, unategemea wachezaji wajitoe 100%!

Inatakiwa kujitoa kuwe kwa sote, kuanzia washabiki, viongozi, serikali na wachezaji.
 
Wanakataakucheza kutokana na ubadhilifu wa viongozi kwa wachezaji kwenye timu za kiafrica...hilo swala mbona wanalizungumza sana tu...binafsi namuona Aubameyang kama mzalendo kwani kwa uwezo wake simuoni akikosa namba kwenye kikosi cha taifa cha Ufaransa.

Mkuu alipoamua kuchezea taifa la Gabon alikua bado hajawa star, hakutarajia kama angelifika level kamaa hii aliyonayo. alikua akirusha mateke kwenye middle teams huko France. Lakini kwa uhakika kwa level aliyonayo muda huu asingelichukua uamuzi kama huo kabisa.
 
Back
Top Bottom