EPL imekuwa ligi ya timu moja, If you can't beat them, Join them!

EPL imekuwa ligi ya timu moja, If you can't beat them, Join them!

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
EPL imekuwa timu ya ligi moja tu tena Man City. Team zote kubwa zimepokea vipigo toka kwa Man City.

Kwasasa Man City pale EPL hana tofauti na PSG kwa Ufaransa, Bayern kwa Ujerumani na Juve kwa Italy. Yaani ligi za timu moja.

Makocha wote kuanzia Mourinho, Klopp, Wenger, Conte na sasa Pochetino wameshindwa kuwa na mbinu za kumsimamisha City.
Chelsea alikula 1.
Akaja Man Utd akala 2.
Arsenal akapigwa 3.
Spurs leo amedundwa 4.
Majogoo wa Liverpool akapigwa 5.

Ni wakati sasa wa kufuata kauli isemayo " If U can't beat them, join them " yaani kama umeshindwa kupambana nao, ungana nao!!

Povu ruksa...
 
Jana si jana ulikuja na uchambuzi wako ule wa kike kike
 
Makamanda wawili wasiozuilika, mmoja ndani ya uwanja na mwingine nje ya uwanja.
JS130138225.jpg
 
ilikuwa ligi ya timu mbovu ndiyo maana ilikuwa inaonekana inaushindani. Timu moja imepata kocha bora na kuacha kucheza butuabutua inawanyanyasa vibaya mno. Man City itachukua ligi kwa tofauti kubwa sana ya point.
Team X hucheza langoni kwao dakika 80 kati ya 90 za mchezo! Wabadilike Guardiola huyoooooo....
 
Back
Top Bottom