Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
EPL imekuwa timu ya ligi moja tu tena Man City. Team zote kubwa zimepokea vipigo toka kwa Man City.
Kwasasa Man City pale EPL hana tofauti na PSG kwa Ufaransa, Bayern kwa Ujerumani na Juve kwa Italy. Yaani ligi za timu moja.
Makocha wote kuanzia Mourinho, Klopp, Wenger, Conte na sasa Pochetino wameshindwa kuwa na mbinu za kumsimamisha City.
Chelsea alikula 1.
Akaja Man Utd akala 2.
Arsenal akapigwa 3.
Spurs leo amedundwa 4.
Majogoo wa Liverpool akapigwa 5.
Ni wakati sasa wa kufuata kauli isemayo " If U can't beat them, join them " yaani kama umeshindwa kupambana nao, ungana nao!!
Povu ruksa...