Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Halafu hata wachezaji alionao siyo wa gharama kubwa kivile km kina ibrahimovich,lukaku, lorlente, etc.
Halafu hata wachezaji alionao siyo wa gharama kubwa kivile km kina ibrahimovich,lukaku, lorlente, etc.
Nunua na weweMan City wana mabeki wa £ 200 ambao wamesajili msimu uliopita. Hapo ujaongelea kipa, viungo na washambuliaji.
Nje ya mada mkuu...Mkuu niliipenda City kwa sababu ya Yahya T. Msimu wa 2012 wakati inachukua ubingwa jamaa alijituma sana.
Team X hucheza langoni kwao dakika 80 kati ya 90 za mchezo! Wabadilike Guardiola huyoooooo....ilikuwa ligi ya timu mbovu ndiyo maana ilikuwa inaonekana inaushindani. Timu moja imepata kocha bora na kuacha kucheza butuabutua inawanyanyasa vibaya mno. Man City itachukua ligi kwa tofauti kubwa sana ya point.
Man City kama chama tawalaDaa ukweli joini them agreed
Mimi na Asernal yangu tunachechemea
Nimepata furaha sana team Godiola inavopepeta kabumbu.
Mpaka rahaaaa
Kama na wewe umesema hivyo, mimi ni nani hadi nibishe?Kwakweli man city wapo vzuri kwasasa
Matusi ya nini sasa?Jana si jana ulikuja na uchambuzi wako ule wa kike kike
Yaya sijui kwa nini bado yuko man city.....juzi nilimuona jukwaaniMkuu niliipenda City kwa sababu ya Yahya T. Msimu wa 2012 wakati inachukua ubingwa jamaa alijituma sana.