EPL imekuwa ligi ya timu moja, If you can't beat them, Join them!

U
Man City wana mabeki wa £ 200 ambao wamesajili msimu uliopita. Hapo ujaongelea kipa, viungo na washambuliaji.
Unaweza kuniambia kati ya Man City na Man U ni timu ipi yenye wachezaji wa gharama? Ni timu ilitumia pesa nyingi zaidi katika usajili msimu uliopita na huu unaoendelea. Nimeuliza hivyo kwa kuwa najua washabiki wa Man U kila kizuri huwa wanataka kiwe chao japo sina uhakika ww upo upande gani.
Majibu tafadhali!!!
 
We jamaa wewe si ulisema spurs atamsimamisha city, kwa bla bla kibao, tukabishana hapa, nashukuru lugha ya soka imeongea.. city ni moto mwingine, daima usithubutu kuweka mapenz katika uchambuzi wa soka mkuu..

Pamoja.
 
Mkuu hata Mimi nimekubali ligi ya England tulikuwa tunasema ngumu kumbe hakuna ugumu wowote zaidi ya kuwa Na timu mbovu naona pep amekuja kudhihirisha hili huyu jamaa ni kocha wa sayari nyingine
 
We jamaa wewe si ulisema spurs atamsimamisha city, kwa bla bla kibao, tukabishana hapa, nashukuru lugha ya soka imeongea.. city ni moto mwingine, daima usithubutu kuweka mapenz katika uchambuzi wa soka mkuu..

Pamoja.
Kunielewa mimi unahitaji uwe umepitia Havard University!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…