makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Mkuu naona unataka kukimbia uhalisia kwa uwongo, meza tu matapishi, kubali tu kwamba uchambuzi wako ulifeli, sio dhambi..Kunielewa mimi unahitaji uwe umepitia Havard University!
Mkuu hiyo si ndio hela ya pobga tu
Sio wewe tu unayeamini hivyo...Asee man city itakuja pigwa na timu ndogo hamtoamini hakika nawaambia
Kevin hatari sana
hajui kitu huyo jamaa katumia zaidi ya paundi milion mia kusajili beki tu maana msimu uliopita huko nyuma kulikua kunavuja hakuna mfanoweMan City wana mabeki wa £ 200 ambao wamesajili msimu uliopita. Hapo ujaongelea kipa, viungo na washambuliaji.
taratibu mkuu...kwenye thread yako umesema mwenyewe "povu ruksa".Matusi ya nini sasa?
Sasa wewe umesema city wametumia £200 kwa beki tu sasa man u walitumia £ ngapi kwa mnyoa kidukuKama hiyo ndie hela ya Pogba basi Una utoko kwenye kichwa chako.