makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Mkuu naona unataka kukimbia uhalisia kwa uwongo, meza tu matapishi, kubali tu kwamba uchambuzi wako ulifeli, sio dhambi..Kunielewa mimi unahitaji uwe umepitia Havard University!
Kwahyo unataka kuniambia thread yako ile ya city atafungwa na spurs, kisa sijui ana dm mmoja ambae fernandinho, oohh kisa spurs ana wachezaji wenye speed, dele, son, kane, sijui spurs hawez kupaki bus kama man u.. ina maana sikukuelewa na ulimaanisha vingine.. masihara haya.[emoji23] [emoji23] basi hao wenye akili za havard hawatokei dunia hii kama ulimaanisha tofauti na city kufa.[emoji23] [emoji23]