EPL is back.........

EPL is back.........

Mwambie dogo huyo.
Anamkosea heshima. Unapozungumzia records tamu za heshima huwezi kumuacha Jose Mourihno, ni miongoni mwa makocha watano tu tangu ulimwengu uumbwe kuwahi kushinda European Cup na timu mbili tofauti ( Porto and Inter Milan). Mwaka 2010 he was named the FIFA World Manager of the year, usisahau pia aliwezesha Inter Milan kubeba "treble" na kuwa klabu ya kwanza in Italy kufanya hivyo (vikombe 3 katika msimu mmoja - SERIA A, UEFA na CLUB SUPER CUP). He archived a lot with clubs kubwa like Madrid, Chelsea, Inter, Porto.

THE SPECIAL ONE.
 
Wadhani hilo hawalijui? maana vitu hivi havihitaji uwe na akili nyingi kuweza kujua rekodi ya kocha wanajitoa ufahamu kwa muda ili tubishane.
 
Anamkosea heshima. Unapozungumzia records tamu za heshima huwezi kumuacha Jose Mourihno, ni miongoni mwa makocha watano tu tangu ulimwengu uumbwe kuwahi kushinda European Cup na timu mbili tofauti ( Porto and Inter Milan). Mwaka 2010 he was named the FIFA World Manager of the year, usisahau pia aliwezesha Inter Milan kubeba "treble" na kuwa klabu ya kwanza in Italy kufanya hivyo (vikombe 3 katika msimu mmoja - SERIA A, UEFA na CLUB SUPER CUP). He archived a lot with clubs kubwa like Madrid, Chelsea, Inter, Porto.

THE SPECIAL ONE.
Hata mimi kwenye swala la ufundishaji namkubali sana huyu jamaa,ila huyo jamaa anatumia pesa nyingi sana kwenye kusajili.
 
Mkuu
It's logical kuwa usitegemee faida kubwa na nzuri kama huwezi ku take maximum risk and investment. Fedha unayoona ni nyingi, inarudi na faida juu kama timu itafanya vyema.
 
Anamkosea heshima. Unapozungumzia records tamu za heshima huwezi kumuacha Jose Mourihno, ni miongoni mwa makocha watano tu tangu ulimwengu uumbwe kuwahi kushinda European Cup na timu mbili tofauti ( Porto and Inter Milan). Mwaka 2010 he was named the FIFA World Manager of the year, usisahau pia aliwezesha Inter Milan kubeba "treble" na kuwa klabu ya kwanza in Italy kufanya hivyo (vikombe 3 katika msimu mmoja - SERIA A, UEFA na CLUB SUPER CUP). He archived a lot with clubs kubwa like Madrid, Chelsea, Inter, Porto.

THE SPECIAL ONE.
Many thanks for the facts
 
Back
Top Bottom