tusipotoshane
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 730
- 694
Mimi ni Arsenal toka na miaka 10, aliyekwambia Mimi ni Liverpool fan nan? Japo wakati nakua nilikuwa napenda sana kuiangalia Liverpool hasa UCL , huwa wapo serious sana haijalishi wana kikosi imara au dhaifu linapokuja swala la UCL ni wanyama
Kwenye UEFA CHAMPION LEAGUE ARSENAL HUWA WACHOVU NA HAWAFIKI MBALI MARA ZOTE.Mimi ni Arsenal toka na miaka 10, aliyekwambia Mimi ni Liverpool fan nan? Japo wakati nakua nilikuwa napenda sana kuiangalia Liverpool hasa UCL , huwa wapo serious sana haijalishi wana kikosi imara au dhaifu linapokuja swala la UCL ni wanyama
Kwahiyo ?Kwenye UEFA CHAMPION LEAGUE ARSENAL HUWA WACHOVU NA HAWAFIKI MBALI MARA ZOTE.
Hama huko njoo kwenye chama kubwa.Kwahiyo ?
[emoji3][emoji1][emoji3][emoji3][emoji3],kweli kabisaA. Madrid & Napoli Hawa Watakuwa Wachomoa Battery Kwa Waingereza
Wewe ni kigeu geu[emoji23][emoji23][emoji23] uko arsenal uku lakin moyoni uko Liverpool...Mimi ni Arsenal toka na miaka 10, aliyekwambia Mimi ni Liverpool fan nan? Japo wakati nakua nilikuwa napenda sana kuiangalia Liverpool hasa UCL , huwa wapo serious sana haijalishi wana kikosi imara au dhaifu linapokuja swala la UCL ni wanyama
Huku kukariri kutawaponza.Msimu huu sioni wa kuzizuia timu za EPL kutesa tena kwenye michuano ya ulaya ,
Naiona Liverpool ,man city zikifika mbali kuanzia nusu hadi fainal ,
Timu kama Madrid bado haijaelewana vema , Barcelona naiona ni ile ile , ujio wa Neymar ungeiongezea kitu , lakini kufeli kwa hili dili naiona ikisuasua ndan ya UCL ,
Naiona Liverpool ikifika mbali kutokana na kuwa na kikosi imara ,japo Mara kadhaa imekuwa ikifanya vema hata inapokuwa na timu ya kawaida , hii ni kutokana na Atmosphere ya Anfield , nadhan Barcelona wanaelewa hali halisi unapotembelea huo uwanja ,
Uwanja wa anfield ni silaha ya kwanza kwa Liverpool kwenye michuano ya ulaya hata inapokuwa na timu ya kawaida , safari hii bado wana strong team , hivo nawaona wakicheza nusu fainal au fainal tena,
Man city ni timu ambayo ilikuwa inatafuta uzoefu, kama uzoefu imeshaupata,msimu uliopita kama si maamuz ya VAR basi huenda tungeshuhudia fainal ya man city & na Liverpool,
Mpaka sasa sioni Juventus wala intermilan ,wala Madrid wala Barcelona atakayewazuia man city & Liverpool kufika fainali au nusu fainal, sana sana namuona kwa mbali Atletico Madrid kama ndiye mpinzani mkuu kwa vilabu hivi vya EPL .
PSG kafanya usajiri mzuri ila ni eneo hasa la attacking, upande wa backline bado hayupo fiti kupambana na vigogo , hivo safari yake itakuwa ni ile ile round 16, au robo fainal .
Kwa upande wa UEL bado nazipa nafas timu za Manchester united na Arsenal kufika kuanzia robo hadi fainal , bado sioni klabu yeyote itakayowazuia .
HUU NI WAKATI WA EPL KATIKA MICHUANO YA ULAYA...View attachment 1197988
Huku kukariri kutawaponza.
UEFA haiwez enda tena EPL.
Inarudi laliga.
Km mnafuatilia mpira Real madrid inarud ktk ubora wake.
Sio ya kuibeza.
Barca wanachezeshwa kuzoea mfumo bila messi na wana manage jana kapigwa mtu tano.
Huyo Liverpool asikutane na mabingwa wa Spain Real ama Barca atachakazwa na kisasi kulipwa.
Time will tell.
Mngeona hao real wanavyokata mkaa ktk league sasa hv msingeibeza na hao barca usajili walofanya sio wa kubezwa.
Mkuu nakubali Real na Barca wameyumba sanaa misimu mitatu nyuma.Labda kwakua mpira unadunda otherwise we ndo unakariri kua laliga ndo uefa
Tatizo unataka nichambue kishabikiWewe ni kigeu geu[emoji23][emoji23][emoji23] uko arsenal uku lakin moyoni uko Liverpool...
Madrid huyu ambaye Jana alikuwa anaomba mpira uishe kwa Levante?Mkuu nakubali Real na Barca wameyumba sanaa misimu mitatu nyuma.
Lakini wacha nikwambie wanarudi mzee.
Hao watoto waliowasajiri na wanavyofanya uwanjani Yesu hapendi nikwambie tu.
Kashinda hajashinda??Madrid huyu ambaye Jana alikuwa anaomba mpira uishe kwa Levante?
Bado sana uefa huenda kwa mzunguko bro, ligi fulani upepo ukiitembelea ndo mazima mpaka ukate, mfano 2004-2012 england timu zilikua moto baada ya hapo spain akatawala now 2018- naiona uingereza ikisumbua sana uefa japo haijalishi kubeba kombeMkuu nakubali Real na Barca wameyumba sanaa misimu mitatu nyuma.
Lakini wacha nikwambie wanarudi mzee.
Hao watoto waliowasajiri na wanavyofanya uwanjani Yesu hapendi nikwambie tu.
Mkuu hiyo Uingereza imesumbua hii misimu miwili ndio unaisifia???!!Bado sana uefa huenda kwa mzunguko bro, ligi fulani upepo ukiitembelea ndo mazima mpaka ukate, mfano 2004-2012 england timu zilikua moto baada ya hapo spain akatawala now 2018- naiona uingereza ikisumbua sana uefa japo haijalishi kubeba kombe
Kwani we huwezi kukimbia? Ama we tayari mungu unajua lijalo?Mkuu hiyo Uingereza imesumbua hii misimu miwili ndio unaisifia???!!
Ndugu usikariri ya nyuma sijui masuala ya upepo.
Time will tell kaka tusije kukimbiana humu ndani we subiri.
Liverpool anatoka hatua ya mtoano round of 16.
Mh umewaza mbali ambako siko kaka.Kwani we huwezi kukimbia? Ama we tayari mungu unajua lijalo?