EPL kutesa tena UCL & UEL

EPL kutesa tena UCL & UEL

Hahahahaha, ila Arsenal nao kibonde kweli,huwa hafiki mbali kwenye mashindano ya kiume kama haya ya UEFA CHAMPION LEQUE
Mimi ni Arsenal toka na miaka 10, aliyekwambia Mimi ni Liverpool fan nan? Japo wakati nakua nilikuwa napenda sana kuiangalia Liverpool hasa UCL , huwa wapo serious sana haijalishi wana kikosi imara au dhaifu linapokuja swala la UCL ni wanyama
 
Kwenye UEFA CHAMPION LEAGUE ARSENAL HUWA WACHOVU NA HAWAFIKI MBALI MARA ZOTE.
 
Mimi ni Arsenal toka na miaka 10, aliyekwambia Mimi ni Liverpool fan nan? Japo wakati nakua nilikuwa napenda sana kuiangalia Liverpool hasa UCL , huwa wapo serious sana haijalishi wana kikosi imara au dhaifu linapokuja swala la UCL ni wanyama
Wewe ni kigeu geu[emoji23][emoji23][emoji23] uko arsenal uku lakin moyoni uko Liverpool...
 
Msimu huu sioni wa kuzizuia timu za EPL kutesa tena kwenye michuano ya ulaya ,

Naiona Liverpool ,man city zikifika mbali kuanzia nusu hadi fainal ,

Timu kama Madrid bado haijaelewana vema , Barcelona naiona ni ile ile , ujio wa Neymar ungeiongezea kitu , lakini kufeli kwa hili dili naiona ikisuasua ndan ya UCL ,

Naiona Liverpool ikifika mbali kutokana na kuwa na kikosi imara ,japo Mara kadhaa imekuwa ikifanya vema hata inapokuwa na timu ya kawaida , hii ni kutokana na Atmosphere ya Anfield , nadhan Barcelona wanaelewa hali halisi unapotembelea huo uwanja ,

Uwanja wa anfield ni silaha ya kwanza kwa Liverpool kwenye michuano ya ulaya hata inapokuwa na timu ya kawaida , safari hii bado wana strong team , hivo nawaona wakicheza nusu fainal au fainal tena,

Man city ni timu ambayo ilikuwa inatafuta uzoefu, kama uzoefu imeshaupata,msimu uliopita kama si maamuz ya VAR basi huenda tungeshuhudia fainal ya man city & na Liverpool,

Mpaka sasa sioni Juventus wala intermilan ,wala Madrid wala Barcelona atakayewazuia man city & Liverpool kufika fainali au nusu fainal, sana sana namuona kwa mbali Atletico Madrid kama ndiye mpinzani mkuu kwa vilabu hivi vya EPL .

PSG kafanya usajiri mzuri ila ni eneo hasa la attacking, upande wa backline bado hayupo fiti kupambana na vigogo , hivo safari yake itakuwa ni ile ile round 16, au robo fainal .

Kwa upande wa UEL bado nazipa nafas timu za Manchester united na Arsenal kufika kuanzia robo hadi fainal , bado sioni klabu yeyote itakayowazuia .

HUU NI WAKATI WA EPL KATIKA MICHUANO YA ULAYA...View attachment 1197988
Huku kukariri kutawaponza.
UEFA haiwez enda tena EPL.
Inarudi laliga.
Km mnafuatilia mpira Real madrid inarud ktk ubora wake.
Sio ya kuibeza.
Barca wanachezeshwa kuzoea mfumo bila messi na wana manage jana kapigwa mtu tano.
Huyo Liverpool asikutane na mabingwa wa Spain Real ama Barca atachakazwa na kisasi kulipwa.
Time will tell.
Mngeona hao real wanavyokata mkaa ktk league sasa hv msingeibeza na hao barca usajili walofanya sio wa kubezwa.
 
Labda kwakua mpira unadunda otherwise we ndo unakariri kua laliga ndo uefa

Mkuu nakubali Real na Barca wameyumba sanaa misimu mitatu nyuma.
Lakini wacha nikwambie wanarudi mzee.
Hao watoto waliowasajiri na wanavyofanya uwanjani Yesu hapendi nikwambie tu.
 
Mkuu nakubali Real na Barca wameyumba sanaa misimu mitatu nyuma.
Lakini wacha nikwambie wanarudi mzee.
Hao watoto waliowasajiri na wanavyofanya uwanjani Yesu hapendi nikwambie tu.
Madrid huyu ambaye Jana alikuwa anaomba mpira uishe kwa Levante?
 
Madrid huyu ambaye Jana alikuwa anaomba mpira uishe kwa Levante?
Kashinda hajashinda??
Halafu madrid usiipime ktk laliga.
Hata kile kipindi misimu mitatu mfururizo alokua anachukua UCL laliga alikua anafungwa had na osasuna nje ndan ila Uefa watu walimkoma.
Madrid iacheni nyie haitabiriki aisee mm Barca lakin real mmh mmh hapana ile team iachen iweke historia zake hawaeleweki unaweza kuwachukulia underdog ila wakikukamata utaimba halelujah.
 
Mkuu nakubali Real na Barca wameyumba sanaa misimu mitatu nyuma.
Lakini wacha nikwambie wanarudi mzee.
Hao watoto waliowasajiri na wanavyofanya uwanjani Yesu hapendi nikwambie tu.
Bado sana uefa huenda kwa mzunguko bro, ligi fulani upepo ukiitembelea ndo mazima mpaka ukate, mfano 2004-2012 england timu zilikua moto baada ya hapo spain akatawala now 2018- naiona uingereza ikisumbua sana uefa japo haijalishi kubeba kombe
 
Mkuu hiyo Uingereza imesumbua hii misimu miwili ndio unaisifia???!!
Ndugu usikariri ya nyuma sijui masuala ya upepo.
Time will tell kaka tusije kukimbiana humu ndani we subiri.
Liverpool anatoka hatua ya mtoano round of 16.
 
Kwani we huwezi kukimbia? Ama we tayari mungu unajua lijalo?
 
Kwani we huwezi kukimbia? Ama we tayari mungu unajua lijalo?
Mh umewaza mbali ambako siko kaka.
Wala sijasema hvyo ndio maana nikasema tusije "kukimbiana".
Nadhan hilo neno linatulenga sote.
 
Back
Top Bottom