EPL kutesa tena UCL & UEL

EPL kutesa tena UCL & UEL

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
24,501
Reaction score
28,711
Msimu huu sioni wa kuzizuia timu za EPL kutesa tena kwenye michuano ya ulaya ,

Naiona Liverpool ,man city zikifika mbali kuanzia nusu hadi fainal ,

Timu kama Madrid bado haijaelewana vema , Barcelona naiona ni ile ile , ujio wa Neymar ungeiongezea kitu , lakini kufeli kwa hili dili naiona ikisuasua ndan ya UCL ,

Naiona Liverpool ikifika mbali kutokana na kuwa na kikosi imara ,japo Mara kadhaa imekuwa ikifanya vema hata inapokuwa na timu ya kawaida , hii ni kutokana na Atmosphere ya Anfield , nadhan Barcelona wanaelewa hali halisi unapotembelea huo uwanja ,

Uwanja wa anfield ni silaha ya kwanza kwa Liverpool kwenye michuano ya ulaya hata inapokuwa na timu ya kawaida , safari hii bado wana strong team , hivo nawaona wakicheza nusu fainal au fainal tena,

Man city ni timu ambayo ilikuwa inatafuta uzoefu, kama uzoefu imeshaupata,msimu uliopita kama si maamuz ya VAR basi huenda tungeshuhudia fainal ya man city & na Liverpool,

Mpaka sasa sioni Juventus wala intermilan ,wala Madrid wala Barcelona atakayewazuia man city & Liverpool kufika fainali au nusu fainal, sana sana namuona kwa mbali Atletico Madrid kama ndiye mpinzani mkuu kwa vilabu hivi vya EPL .

PSG kafanya usajiri mzuri ila ni eneo hasa la attacking, upande wa backline bado hayupo fiti kupambana na vigogo , hivo safari yake itakuwa ni ile ile round 16, au robo fainal .

Kwa upande wa UEL bado nazipa nafas timu za Manchester united na Arsenal kufika kuanzia robo hadi fainal , bado sioni klabu yeyote itakayowazuia .

HUU NI WAKATI WA EPL KATIKA MICHUANO YA ULAYA...
IMG-20190829-WA0018.jpeg
 
HUU NI WAKATI WA EPL KATIKA MICHUANO YA ULAYA...View attachment 1197988
Uko sawa kwa mtizamo wako na sisi baadhi tunaofuatilia Sika.Umeandika kwa ushabiki sana kwa sababu wewe ni shabiki kindaki ndaki wa Wekundu wa Anfield (Liverpool).

Hahahahaha!!!
 
Kwasada hyo mkuu German hujaona kumbuka **** Dortmund na Bayern Munich na wao si wa kubeZa umegusa Spain England na Italy tu
 
Barcelona siyo mnyonge ki hivyo.. Real nao sio wabaya, kuna Bayern, Dortmund, Juve...kwa mbaali Psg.

Man City sio wa kutegemea.
Liverpool hata nusu fainal hafiki

Ni suala la muda tu
 
Uko sawa kwa mtizamo wako na sisi baadhi tunaofuatilia Sika.Umeandika kwa ushabiki sana kwa sababu wewe ni shabiki kindaki ndaki wa Wekundu wa Anfield (Liverpool).

Hahahahaha!!!
Mimi ni Arsenal toka na miaka 10, aliyekwambia Mimi ni Liverpool fan nan? Japo wakati nakua nilikuwa napenda sana kuiangalia Liverpool hasa UCL , huwa wapo serious sana haijalishi wana kikosi imara au dhaifu linapokuja swala la UCL ni wanyama
 
Kwasada hyo mkuu German hujaona kumbuka **** Dortmund na Bayern Munich na wao si wa kubeZa umegusa Spain England na Italy tu
BVB bado kupambana hata na PSG hawez, baryen zama zake zimepita , atawasumbua bundesliga tu, baryen ilibebwa sana na wale faras wawili , Roben & ribery ,

Hii baryen ya sasa Sion wakipata matokeo mbele ya watu kama city,hata barcelona
 
Back
Top Bottom