GedsellianTz JF-Expert Member Joined Jul 5, 2016 Posts 1,348 Reaction score 1,805 Jul 22, 2016 #1 Karibuni wadau tujadili mambo mbalimbali kuhusu soka katika msimu huu unaotarajia kuanza siku si nyingi, pia na betting tips kwa wale wakubet.
Karibuni wadau tujadili mambo mbalimbali kuhusu soka katika msimu huu unaotarajia kuanza siku si nyingi, pia na betting tips kwa wale wakubet.
Capslock JF-Expert Member Joined May 1, 2016 Posts 3,089 Reaction score 4,816 Jul 26, 2016 #2 Wadau nimefungua akaunti mkekabet lakni nimeshindwa namna ya kuweka hela kwenye akaunti.... Msaada pls
Wadau nimefungua akaunti mkekabet lakni nimeshindwa namna ya kuweka hela kwenye akaunti.... Msaada pls
GedsellianTz JF-Expert Member Joined Jul 5, 2016 Posts 1,348 Reaction score 1,805 Jul 26, 2016 Thread starter #3 Capslock said: Wadau nimefungua akaunti mkekabet lakni nimeshindwa namna ya kuweka hela kwenye akaunti.... Msaada pls Click to expand... Weka namba ya kampuni 238844, then namba ya kumbukumbu ya malipo 123458, unakuwa tayar ushaweka pesa kwenye akaunti yako
Capslock said: Wadau nimefungua akaunti mkekabet lakni nimeshindwa namna ya kuweka hela kwenye akaunti.... Msaada pls Click to expand... Weka namba ya kampuni 238844, then namba ya kumbukumbu ya malipo 123458, unakuwa tayar ushaweka pesa kwenye akaunti yako
Capslock JF-Expert Member Joined May 1, 2016 Posts 3,089 Reaction score 4,816 Jul 26, 2016 #4 GedsellianTz said: Weka namba ya kampuni 238844, then namba ya kumbukumbu ya malipo 123458, unakuwa tayar ushaweka pesa kwenye akaunti yako Click to expand... Mkuu shukran sana....
GedsellianTz said: Weka namba ya kampuni 238844, then namba ya kumbukumbu ya malipo 123458, unakuwa tayar ushaweka pesa kwenye akaunti yako Click to expand... Mkuu shukran sana....
GedsellianTz JF-Expert Member Joined Jul 5, 2016 Posts 1,348 Reaction score 1,805 Jul 26, 2016 Thread starter #5 Capslock said: Mkuu shukran sana.... Click to expand... Pamoja