EPL, La Liga, Na ligi nyingine zote msimu wa 2016/17

EPL, La Liga, Na ligi nyingine zote msimu wa 2016/17

GedsellianTz

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2016
Posts
1,348
Reaction score
1,805
Karibuni wadau tujadili mambo mbalimbali kuhusu soka katika msimu huu unaotarajia kuanza siku si nyingi, pia na betting tips kwa wale wakubet.
 
Wadau nimefungua akaunti mkekabet lakni nimeshindwa namna ya kuweka hela kwenye akaunti....

Msaada pls
 
Wadau nimefungua akaunti mkekabet lakni nimeshindwa namna ya kuweka hela kwenye akaunti....

Msaada pls
Weka namba ya kampuni 238844, then namba ya kumbukumbu ya malipo 123458, unakuwa tayar ushaweka pesa kwenye akaunti yako
 
Back
Top Bottom