EPL: Leicester City vs Chelsea FC

EPL: Leicester City vs Chelsea FC

CHELSEA wamecheza Mechi 16 na Wana Point 15.

Mourinho Siku Zake za Stamford Bridge Hakika Zinahesabika
 
Duh! Pole zao ... Dirisha dogo wanahitaji beki wa kati, kiungo na straika if possible. Ila sana sana beki, Terry na Cahill wanaonekana kuchoka sana. Yaani, siku hizi wanageuzwa tu.
 
Back
Top Bottom