haaaData nimeziona hapo
Kwa maana ya quality ya wachezaji, basi la liga ina wachezaji wenye quality nzuri kama kina Ronaldo, Neymar na Suarez
Lakini kwa maana ya burudani, ushindani, sarakasi na vituko vya hapa na pale basi EPL.
Kwa hiyo EPL is the best kwani it is very exciting
Naweza kusema La liga kuna timu kadhaa boraa kabsaa. Lakin kuna gap kubwa la uborahaaa
ili ligi iwe bora yahitaji team nyingi ziwe na ubora na ushindani mkubwa, ila la liga inaonyesha kuna team nyingi dhaifu na zisizo na ubora mkubwa ukilinganisha na Epl ambapo team karibu zote zipo katika hali nzuri
Vp Ukikutana Na Timu Za Laliga Unawashnda?haaa
ili ligi iwe bora yahitaji team nyingi ziwe na ubora na ushindani mkubwa, ila la liga inaonyesha kuna team nyingi dhaifu na zisizo na ubora mkubwa ukilinganisha na Epl ambapo team karibu zote zipo katika hali nzuri
Tunaizungumzia logo nzima na sio team kubwa chacheVp Ukikutana Na Timu Za Laliga Unawashnda?
Taarifa uchwara kutoka kwenye blog uchwarakwa muda mrefu kumekuwa na malumbano juu ya ipi ni ligi bora duniani
kwa takwimu hapo chini nazani tunaweza kuumalza ubishi kam sio kuupunguza
tafadhari tazama katika link hapo chini
TAKWIMU - Epl ligi bora duniani ikifuatiwa na la liga
Hizo team za EPL zileteni UEFA au Europa uone zinavyombwela.....alafu timu ya TaifA ya england ndo ushuzi wa kutupa.haaa
ili ligi iwe bora yahitaji team nyingi ziwe na ubora na ushindani mkubwa, ila la liga inaonyesha kuna team nyingi dhaifu na zisizo na ubora mkubwa ukilinganisha na Epl ambapo team karibu zote zipo katika hali nzuri
Timu kama Valencia, Sevilla na nyingine zikipata matajiri kama ilivyo kwa man city. Soka la Uhispania litakua kubwa sana. Zamani kabla pesa hazijaingilia sana soka. Valencia ilileta upinzani mkubwa sana Spain.haaa
ili ligi iwe bora yahitaji team nyingi ziwe na ubora na ushindani mkubwa, ila la liga inaonyesha kuna team nyingi dhaifu na zisizo na ubora mkubwa ukilinganisha na Epl ambapo team karibu zote zipo katika hali nzuri
Tu ya taofa hai reflect ubora wa ligi anko.Hizo team za EPL zileteni UEFA au Europa uone zinavyombwela.....alafu timu ya TaifA ya england ndo ushuzi wa kutupa.
Mimi nadhani ubora wa ligi inatakiwa uangalie vitu vingi sana, Thamani ya vilabu ikiwepo, idadi ya vikombe kimataifa, ushindani wake na vilabu vya ligi za TaifA jingine, ushindani wa tuzo za kimataifa kwa individual players nk nkTu ya taofa hai reflect ubora wa ligi anko.
Na pia timu 3 kushindania UCL hai prove ndio best league
Epl team nyingi (zote) zina viwango vya chini vinavyo fanana wanatumia nguvu nyingi kuliko akiri!!!haaa
ili ligi iwe bora yahitaji team nyingi ziwe na ubora na ushindani mkubwa, ila la liga inaonyesha kuna team nyingi dhaifu na zisizo na ubora mkubwa ukilinganisha na Epl ambapo team karibu zote zipo katika hali nzuri
Eee team ChelseaVp Ukikutana Na Timu Za Laliga Unawashnda?
Mimi huwa nashindwa kuwashangaa haswa shabiki wa Mpira wa Miguu hapa Tanzania,Hiyo wanayo ikomalia kwamba Ndio Ligi bora Laliga walio wengi huwa wanakwenda kuangalia mechi ya Barcelona vs Real Madrid tu inastajaabisha kwakweli.EPL ndio ligi bora kabisa ulimwenguni.