EPL - Ligi bora zaidi duniani ona takwimu zake ukiilinganisha na la liga

Well, Tukianzia kwa hao so called Godfathers hapo uliowataja sio kwamba hawataki/hawakutaka kucheza epl kwasababu ulizoainisha ila kwa namna moja ama nyingine waliogopa na wanaogopa changamoto zilizopo uingereza.

Messi kuifunga Arsenal kila wakati sio kwamba angekua anaifunga soton au Sunderland kiurahisi.

Tukirudi kwenye ubingwa wa The Fox sio kwamba ni ukilaza na uache kuwadharau kwasababu kila timu inapoanza mashindano inakua na ndoto za kuwa bingwa. Na kila timu inatakiwa iwe na equal chance ya kuchukua ubingwa. Na ili ligi iwe bora ni lazima iwe unpredictable. Sasa unapowadharau Leicester ambayo ipo quarter final cl tena kwa kuwatoa Sevilla ambayo inatoka kwenye liga unayodai ni bora it's totally unfair.

Kwa kuwa kwake predictable La Liga inapoteza msisimko wa kuwa ligi bora. With reference to Mourinho na Guardiola baada ya kuzurura ligi kadhaa wamekiri na kuadmit kwamba epl is the toughest league.
Changamoto ni kwamba EPL hailei vipaji fullstop, timu za EPL zinakamiana alafu zinashushana viwango ndo maana zikija kimataifa zinaboronga, kwa Leicester kumtoa sevilla sishangai maana kwanza ni bingwa wa EPL alafu Leicester amecheza mchezo wa kupaki basi na kubutuabutua kama timu nyingi za EPL zinavyochezaga ndo maana sevilla alipata tabu ya kutuliza mpira na kuucheza, Ila kama Leicester wakikubali kucheza mpira wenyewe mbona wangetoka.
 
Kati ya miaka 8
Barca kawa bingwa mara 6
Hamna ligi hapo, huwa mnaenda ku confirm tuu jamaa atachukuaje ubingwa.
Ligo ya EPL ki ukweli ina kila aina ya burudani na ushindani
Barca na Madrid ni timu kubwa mno zile. ila bora niangalie hawa magiants wakicheza hata kama ushindi unatabirika kirahisi kuliko nikaangalie watu wasiojua kucheza kisa kunaushindani mkali. hata ndondo cup inaushindani kuliko VPL lakini haiizidi ubora. niambie timu ya EPL inayopiga kandanda safi kama Las Palmas?
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
That is non sense, maana ya ligi huwa ni kushindana sasa kushindana ambako mshindi hujulikana kuna ifanya ligi iwe inaboa
 
Changamoto ni kwamba EPL hailei vipaji fullstop, timu za EPL zinakamiana alafu zinashushana viwango ndo maana zikija kimataifa zinaboronga, kwa Leicester kumtoa sevilla sishangai maana kwanza ni bingwa wa EPL alafu Leicester amecheza mchezo wa kupaki basi na kubutuabutua kama timu nyingi za EPL zinavyochezaga ndo maana sevilla alipata tabu ya kutuliza mpira na kuucheza, Ila kama Leicester wakikubali kucheza mpira wenyewe mbona wangetoka.
Mkuu, mpira it's all abt tactics na primary target ya kila timu ni ushindi no matter how. Kwa Leicester city kucheza vile ni moja ya mbinu ya mchezo walioamua kuucheza ili wapate matokeo. Na ndio maana kuna mifumo tofauti 4-4-2, 3-5-2, 4-5-1, 4-3-3 hiyo yote kuonesha kwamba kila mtu ana mfumo na mbinu tofauti kutafuta ushindi.

Tukirudi katika kukuza kipaji, ukishaingia premier league tuna kuregard wewe ni professional hatuna muda wa kukuza kipaji hizo ni kazi za academy. Kule kwenye senior team tunafundishwa tactics, the rest ni jitihada za mchezaj mwenyewe.

Kama utakua umecheza cheza mpira kidogo wa kufundishwa ukiwa mdogo utanielewa nini nimemaanisha. Mfano kwenye hizi academy zetu za kibongo bongo kama sigara, elite, tualipo na apex enzi zile za 2000-2010 walikua wanagrup vijana kwa age. Huko under 13 tulikua tunafundishwa skills mfano kupiga pasi, ball control etc. Ukifika kuanzia 17 mnaanza kufundishwa mifumo.

Sasa kama utanihakikishia kwamba team za epl hazina academy kwa ajili ya kukuza na kutunza kipaji nitaungana na wewe.
 
EPL mtu mmoja anaweza badilisha uelekeo wa ligi yote Ngolo Kante kaipa ubingwa Leicester kaondoka imeporomoka na saizi anaisaidia Chelsea kuongoza point kumi mbele!! watu wanaipenda EPL siyo sababu ya ubora bali sababu ya mazoea.
 
Full stop

La liga ni ligi bora dunian
EPL ni ligi maarufu na yenye ushindani duniani

Utakayebisha wewe mchawi

La liga timu zao zina uwezo mkubwa sana kimashindano mbali mbali kama uefa na europa ,mfano
Atletico
Real madrid
Barcelona
Sevilla
Athletic bilbao
Valencia nk

Ila epl wao wanaushindani sana ukiangalia anayeonekana yupo vizur mashindano ya nje kwenye ligi yake anagombania asishuke daraja leicester city
 
Vp Ukikutana Na Timu Za Laliga Unawashnda?
Hizo timu dhaifu kwenye La liga ni bora zaidi ya timu bora za EPL, hiyo ndiyo tofauti baina ya EPL na La liga.

Hata hivyo, ukiondoa mechi zinazohusisha mapambano baina yao Real Madrid, Barcelona, Atletico Madrid, Valencia, Sevilla, Atletico Bilbao, na Villareal, ni bora kuangalia mechi baina ya vibonde wa EPL.

Vv
 
Timu kubwa za epl zinatolewa kamasi na timu ndogo za La liga. Hicho ni kigezo tosha kinachoonesha La liga is the best league.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
That is non sense, maana ya ligi huwa ni kushindana sasa kushindana ambako mshindi hujulikana kuna ifanya ligi iwe inaboa
mi kwangu quality ya mpira ni muhimu kuliko ushindani. ushindani wa watu wasiojua kucheza hauna maana.
 
EPL mtu mmoja anaweza badilisha uelekeo wa ligi yote Ngolo Kante kaipa ubingwa Leicester kaondoka imeporomoka na saizi anaisaidia Chelsea kuongoza point kumi mbele!! watu wanaipenda EPL siyo sababu ya ubora bali sababu ya mazoea.
Katika miaka 8
EPL haijatokea bingwa mara mbili mfululizo
Na katika miaka 5 zime chukua tu 4 tofauti
Hiy ndio ligi
 
mi kwangu quality ya mpira ni muhimu kuliko ushindani. ushindani wa watu wasiojua kucheza hauna maana.
Ukisema hivo kaangalie friendliea
Maana ya league ni competition ya sports team
Quality unaongelea kitu ingine kabsa
 
Well, Tukianzia kwa hao so called Godfathers hapo uliowataja sio kwamba hawataki/hawakutaka kucheza epl kwasababu ulizoainisha ila kwa namna moja ama nyingine waliogopa na wanaogopa changamoto zilizopo uingereza.

Messi kuifunga Arsenal kila wakati sio kwamba angekua anaifunga soton au Sunderland kiurahisi.

Tukirudi kwenye ubingwa wa The Fox sio kwamba ni ukilaza na uache kuwadharau kwasababu kila timu inapoanza mashindano inakua na ndoto za kuwa bingwa. Na kila timu inatakiwa iwe na equal chance ya kuchukua ubingwa. Na ili ligi iwe bora ni lazima iwe unpredictable. Sasa unapowadharau Leicester ambayo ipo quarter final cl tena kwa kuwatoa Sevilla ambayo inatoka kwenye liga unayodai ni bora it's totally unfair.

Kwa kuwa kwake predictable La Liga inapoteza msisimko wa kuwa ligi bora. With reference to Mourinho na Guardiola baada ya kuzurura ligi kadhaa wamekiri na kuadmit kwamba epl is the toughest league.
Asee udadavuzi wa kitaalamu kabisa huu, yaani kama hawajakuelewa na hapa basi waache na mahaba yao.
 
Changamoto ni kwamba EPL hailei vipaji fullstop, timu za EPL zinakamiana alafu zinashushana viwango ndo maana zikija kimataifa zinaboronga, kwa Leicester kumtoa sevilla sishangai maana kwanza ni bingwa wa EPL ]alafu Leicester amecheza mchezo wa kupaki basi na kubutuabutua kama timu nyingi za EPL zinavyochezaga ndo maana sevilla alipata tabu ya kutuliza mpira na kuucheza, Ila kama Leicester wakikubali kucheza mpira wenyewe mbona wangetoka.
Hahaahaa... Umenifurahisha sana hapo kwenye blue.

Yaani mimi ningekuwa raisi wa FIFA ningetunga sheria kwa ajiri ya mashabiki kama wewe, yaani mashabiki kama nyie inatakiwa mpigwe life ban ya kuangalia mpira. Kwa sababu mna taka kila timu icheze ambavyo wewe unataka wakati football ni tactical game.
 
Mkuu, mpira it's all abt tactics na primary target ya kila timu ni ushindi no matter how. Kwa Leicester city kucheza vile ni moja ya mbinu ya mchezo walioamua kuucheza ili wapate matokeo. Na ndio maana kuna mifumo tofauti 4-4-2, 3-5-2, 4-5-1, 4-3-3 hiyo yote kuonesha kwamba kila mtu ana mfumo na mbinu tofauti kutafuta ushindi.

Tukirudi katika kukuza kipaji, ukishaingia premier league tuna kuregard wewe ni professional hatuna muda wa kukuza kipaji hizo ni kazi za academy. Kule kwenye senior team tunafundishwa tactics, the rest ni jitihada za mchezaj mwenyewe.

Kama utakua umecheza cheza mpira kidogo wa kufundishwa ukiwa mdogo utanielewa nini nimemaanisha. Mfano kwenye hizi academy zetu za kibongo bongo kama sigara, elite, tualipo na apex enzi zile za 2000-2010 walikua wanagrup vijana kwa age. Huko under 13 tulikua tunafundishwa skills mfano kupiga pasi, ball control etc. Ukifika kuanzia 17 mnaanza kufundishwa mifumo.

Sasa kama utanihakikishia kwamba team za epl hazina academy kwa ajili ya kukuza na kutunza kipaji nitaungana na wewe.
Mkuu hawa mashabiki wa ligi ya wahindi wanafurahisha sana.
 
Katika miaka 8
EPL haijatokea bingwa mara mbili mfululizo
Na katika miaka 5 zime chukua tu 4 tofauti
Hiy ndio ligi
basi kwa mantiki hiyo EPL ni bora kuliko hata Uefa champions League. maana kutoka 2006 Barcelona kachukua mara 4, madrid mara 2 na mara mbili zimekutana fainali timu za spain. UCL haina ubora kama EPL maana ushindani siyo mkubwa.
 
Full stop

La liga ni ligi bora dunian
EPL ni ligi maarufu na yenye ushindani duniani

Utakayebisha wewe mchawi

La liga timu zao zina uwezo mkubwa sana kimashindano mbali mbali kama uefa na europa ,mfano
Atletico
Real madrid
Barcelona
Sevilla
Athletic bilbao
Valencia nk

Ila epl wao wanaushindani sana ukiangalia anayeonekana yupo vizur mashindano ya nje kwenye ligi yake anagombania asishuke daraja leicester city

Hii paragraph ya mwisho imehitimisha kwa kuonyesha ni kwanini EPL itaendelea kuwa ligi baba kuliko zote. Wewe mtu yuko red zone ila lakini kwenye michuano ya nje anakimbizana na akina Madrid hadi Leo hii.
 
basi kwa mantiki hiyo EPL ni bora kuliko hata Uefa champions League. maana kutoka 2006 Barcelona kachukua mara 4, madrid mara 2 na mara mbili zimekutana fainali timu za spain. UCL haina ubora kama EPL maana ushindani siyo mkubwa.
Khaaa!!
What are you talking!!?

Unafananishaje domestic league na continental league tena?, ligi ya mtoano na ligi ya series?. Red umekula maharage ya wap tena?

Hiyo inathibitisha kuwa UCL haiwez kuwa kigezo cha kudetermine ubora wa domestic league.
Halafu ona hata aibu kwa kipindi chote cha UCL bingwa hajawahi kujirudia, ila spain ni kawaid kila sku barca anabeba kama lake vile.
 
Timu kubwa za epl zinatolewa kamasi na timu ndogo za La liga. Hicho ni kigezo tosha kinachoonesha La liga is the best league.
Vipi na Sevilla anaeshika nafasi ya nne kutolewa na kibondo anaetaka kushuka daraja EPL.. Hii imekaaje?
 
Full stop

La liga ni ligi bora dunian
EPL ni ligi maarufu na yenye ushindani duniani

Utakayebisha wewe mchawi

La liga timu zao zina uwezo mkubwa sana kimashindano mbali mbali kama uefa na europa ,mfano
Atletico
Real madrid
Barcelona
Sevilla
Athletic bilbao
Valencia nk

Ila epl wao wanaushindani sana ukiangalia anayeonekana yupo vizur mashindano ya nje kwenye ligi yake anagombania asishuke daraja leicester city
Nakuunga mkono mkuu, watu hawapendi kuangalia mechi za laliga ila ni tamu mno, timu zinacheza mpira sio kupaki Kama EPL afu kuhusu mechi kutotabirika hata laliga ipo Sana. Madrid anapata ushindi kwa kulazimisha, barca majuzi alipigwa na deportivo.

Kuhusu ubingwa kwenda barca na Madrid ni sababu zimewekeza zaidi. Vilabu hivyo ni bora hata vikihamia EPL ubingwa kwenda kwao itakua asilimia 98.

EPL ni ligi pendwa na tofauti ya ubora wa vilabu ni ndogo ndo maana leicister ameweza kuchukua ubingwa ila ni ligi ya kawaida Sana Kama ya ubelgiji.
 
Back
Top Bottom