Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kila siku siyo Jumapili .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😆😆😆😆Tufwileeeee Mungu wape Liverpool ubingwa wa EPL
poleWamechana mkeka
Haraka haraka nani kaifata iyo unafikiri???Odd 26 aisee
Hahaaaaa, amepgwe tuMimi, Etoo na Ibrahimović hatumpendi Guardiola so akipoteza game zake; kwetu heri tu.
Leo suruali ilikuwa inamshuka game nzima. Apigwe tu..Kweli kuwa nervous si kazi ndogo.Hahaaaaa, amepgwe tu
daah kwahiyo mtu angeweka buku ten angekua anaruka sahizi...Odd 26 aisee
Wamekufaje wakati bado hawaja tupwa nje kwenye michuano?Mbona husemi kamusoko kaua watu kwa mchina