EPL: Man. United yashinda kibabe Od Trafford, Arsenal yashikwa na Fulham

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Dakika 4 za awali, Manchester United ilikuwa nyuma kwa magoli 2-0 dhidi ya NottinghamForest wakati Arsenal ilikuwa nyuma kwa goli 1-0 dhidi ya Fulham.

Hadi filimbi ya mwisho ya michezo hiyo ya Premier League, Man United imepata ushindi wa magoli 3-2 ikiwa nyumbani kwenye Uwanja wa Old Trafford wakati Arsenal imepata sare ya magoli 2-2 katika Dimba la Emirates.

Matokeo mengine ya ligi hiyo leo Jumamosi Agosti 26, 2023, AFC Bournemouth 0-2 Tottenham Hotspur, Brentford 1-1 Crystal Palace, Everton 1-1 Wolves.
 
Nyumbu anakwenda kula 4G ndani ya emirates.

Labda asajili wachezaji wawili wa kikosi cha kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…