EPL: Manchester City vs Arsenal wachezaji wa Arsenal wasema watashinda na kutangaza ubingwa leo

🀣🀣🀣🀣🀣kwa hiyo City leo ni underdog….
Acha inyesheeee
 
Nimeangalia makampuni ya kubet odds za manchester city zinapanda kwa kasi na za Arsenal zinapungua
 
Arsenal leo kama asipopigwa mkono πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Hii timu ni kama wamekusanya watoto wanaojifunza mechanical garage πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Kama si kipa wa Arsenal, hadi muda huu ingekuwa washika mitutu wamekula 5 au 6....
 
Arteta anamuekaje Bench kiungo kama Jorginho kwa huyu Thomas partey? maamuzi ya ovyo mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…