EPL: Manchester City vs Arsenal wachezaji wa Arsenal wasema watashinda na kutangaza ubingwa leo

EPL: Manchester City vs Arsenal wachezaji wa Arsenal wasema watashinda na kutangaza ubingwa leo

🤣🤣🤣🤣🤣kwa hiyo City leo ni underdog….
Acha inyesheeee
 
Nimeangalia makampuni ya kubet odds za manchester city zinapanda kwa kasi na za Arsenal zinapungua
 
Arsenal leo kama asipopigwa mkono 😆😆😆

Hii timu ni kama wamekusanya watoto wanaojifunza mechanical garage 😆😆😆
 
Kama si kipa wa Arsenal, hadi muda huu ingekuwa washika mitutu wamekula 5 au 6....
 
Arteta anamuekaje Bench kiungo kama Jorginho kwa huyu Thomas partey? maamuzi ya ovyo mno
 
Back
Top Bottom