Arsenal chama langu lakini hii timu aipo sastainable ligi ya epl.kuna muda inakua uvuguvugu,kuna muda inakua ya moto mwishoni mwa ligi inaganda inapoa kabisa kila mtu anajipigia.
sitamani Man City abebe tena ndoo ingawa anateleza kama anavyoteleza Arsenal. mmoja wapo hizo timu mbili kuna uwezekano akanyanyua makwapa.