EPL ndo ligi bora duniani

EPL ndo ligi bora duniani

Naamini quality uliiona jana Baada ya kile kipigo cha mbwa koko alichopokea Barcelona pale Anfield [emoji1787][emoji1787]
Kuna tofauti kubwa sana kati ya records na tukio.
Wewe unazungumzia ushabiki, mimi nazungumzia uhalisia.
Hembu weka takwimu tuone laliga wamechukua mara ngapi na epl wamechukua mara ngapi?

Endapo epl wataweza ku maintain walichofanya sasa kwa misimu kadhaa nitakubaliana na wewe, lakini kama wakifanya hivi alafu wapotee kama alivyofanya Chelsea mara ya mwisho bado itakua ni tukio moja moja.

Timu kama Fc Porto wamewahi kuchukua, lakini sidhani kama dunia imewahi kusema ligi yao ni bora.
 
First season of VAR, none of the overrated Spanish teams made it to the finals. No surprises there

[emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]

katika mwaka wa kwanza wa matumizi ya VAR kwenye UEFA COMEBACK LIGI hakuna ngombe yoyote wa SPAIN alieenda fainali

Je timu za SPAIN zilizoea kubebwa ??????
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya records na tukio.
Wewe unazungumzia ushabiki, mimi nazungumzia uhalisia.
Hembu weka takwimu tuone laliga wamechukua mara ngapi na epl wamechukua mara ngapi?

Endapo epl wataweza ku maintain walichofanya sasa kwa misimu kadhaa nitakubaliana na wewe, lakini kama wakifanya hivi alafu wapotee kama alivyofanya Chelsea mara ya mwisho bado itakua ni tukio moja moja.

Timu kama Fc Porto wamewahi kuchukua, lakini sidhani kama dunia imewahi kusema ligi yao ni bora.

Angalia ss mnavyohamisha magoli,ww si ndo ulisema ubora wa ligi ni CL,ukasema go and show your quality haya ss timu mbili za EPL zimefika finali msimu huu bdo unaleta blah blah za historia,hapa tunaongelea leo sio miaka iliyopita, leo hata ukicheki Europa Ligi pia kuna uwezekano mkubwa finali zikaingia timu za EPL tena alafu mnataka kuleta ubishi usio na maana hapa, kigezo chenu wenyewe kimewaumbua!
 
Angalia ss mnavyohamisha magoli,ww si ndo ulisema ubora wa ligi ni CL,ukasema go and show your quality haya ss timu mbili za EPL zimefika finali msimu huu bdo unaleta blah blah za historia,hapa tunaongelea leo sio miaka iliyopita tukisema tuongelee hko nyuma na takwimu ligi bora basi kwa kigezo hicho ilikuwa ni Seria A kipind cha dominance ya Milan, leo hata ukicheki Europa Ligi pia kuna uwezekano mkubwa finali zikaingia timu za EPL tena alafu mnataka kuleta ubishi usio na maana hapa, kigezo chenu wenyewe kimewaumbua!
Kama unazungumzia ubora kwa msimu useme sasa kwa msimu huu epl ni bora.
 
1.Hivi mkuu unaelewa kweli unachoongea ww?? sasa La liga na EPL ipi iko cheap?? unajua haki za kurushwa matangazo ya EPL ni kiasi gani?kama ulikuwa hujui hakuna ligi ya mpira ambayo ni expensive kuliko EPL ss unavyosema cheap sielewi hizo takwimu zko umepata wap!

2. Kama EPL ni wazuri wa kukimbia kimbia tu imekuwaje wao ndo ligi ambayo imeingiza timu nyingi Quarter final CL kuliko ligi nyingine yoyote msimu huu?? na uliopita kufikisha timu moja final? Barca bingwa wenu wa la liga leo wamebamizwa 4-0 na kutolewa CL, na timu ambayo umesema hawatumii akili hebu tuelezee ilikuwaje hapo mwalimu kashasha!!

3.Tactic za City sio za Spain ndugu yangu,tick taka asili yake ni Ajax Amsterdam (uholanzi) na zilianzia kwa legend Johan Cruyff alieyekuwa mchezaji na kocha wa zamani wa Ajax ambae alikuja kufundisha Barca na wakina Guadiola na timu ya taifa ya Spain kujifunza kwake,na kwakua barca anaitumia haina maana kwamba timu zote la liga huitumia,shida ni kwamba unataka kufanya mafanikio ya barcelona na madrid kuwa ndo mafanikio ya La liga wakati hvyo ni vitu viwili tofauti hapa tunaongelea ubora wa ligi nzima sio ubora wa Club 2 sijui.
Ni ukweli usiopingika Man city wamechukuwa ubingwa EPL kutokana na ufundi bora wa Pep G.


Play tactics & strategies zao zaleta mapinduzi chanya EPL .

Mpira wa kutulia wanapopanga mashambulizi usiotegemea makosa ya kiufundi wa team pinzani na pasi za uakika na zenye malengo chanya ndiyo chemchem ya mafanikio ya man city .

Counterattacks zinazo dhihirisha kuzidiwa haukuwa mpira wa man city hivyo kuona burudani murua ya mapinduzi ya EPL misimu kadhaa tangu Pep atue man city.
 
Back
Top Bottom