EPL ndo ligi bora duniani

Naamini quality uliiona jana Baada ya kile kipigo cha mbwa koko alichopokea Barcelona pale Anfield [emoji1787][emoji1787]
Kuna tofauti kubwa sana kati ya records na tukio.
Wewe unazungumzia ushabiki, mimi nazungumzia uhalisia.
Hembu weka takwimu tuone laliga wamechukua mara ngapi na epl wamechukua mara ngapi?

Endapo epl wataweza ku maintain walichofanya sasa kwa misimu kadhaa nitakubaliana na wewe, lakini kama wakifanya hivi alafu wapotee kama alivyofanya Chelsea mara ya mwisho bado itakua ni tukio moja moja.

Timu kama Fc Porto wamewahi kuchukua, lakini sidhani kama dunia imewahi kusema ligi yao ni bora.
 
First season of VAR, none of the overrated Spanish teams made it to the finals. No surprises there

[emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]

katika mwaka wa kwanza wa matumizi ya VAR kwenye UEFA COMEBACK LIGI hakuna ngombe yoyote wa SPAIN alieenda fainali

Je timu za SPAIN zilizoea kubebwa ??????
 

Angalia ss mnavyohamisha magoli,ww si ndo ulisema ubora wa ligi ni CL,ukasema go and show your quality haya ss timu mbili za EPL zimefika finali msimu huu bdo unaleta blah blah za historia,hapa tunaongelea leo sio miaka iliyopita, leo hata ukicheki Europa Ligi pia kuna uwezekano mkubwa finali zikaingia timu za EPL tena alafu mnataka kuleta ubishi usio na maana hapa, kigezo chenu wenyewe kimewaumbua!
 
Kama unazungumzia ubora kwa msimu useme sasa kwa msimu huu epl ni bora.
 
Ni ukweli usiopingika Man city wamechukuwa ubingwa EPL kutokana na ufundi bora wa Pep G.


Play tactics & strategies zao zaleta mapinduzi chanya EPL .

Mpira wa kutulia wanapopanga mashambulizi usiotegemea makosa ya kiufundi wa team pinzani na pasi za uakika na zenye malengo chanya ndiyo chemchem ya mafanikio ya man city .

Counterattacks zinazo dhihirisha kuzidiwa haukuwa mpira wa man city hivyo kuona burudani murua ya mapinduzi ya EPL misimu kadhaa tangu Pep atue man city.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…