PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,181
- 20,148
kuna msemo ukiona mtua anakandia kitu fulani juwa anakitamani sana,achane unafiki nyie ndo wa kwanza kuangalia mechi za epl, halfu mashabiki wa la liga ndo wakwanza kwa hiyo topic simuangalie ligi yenu kwan lazima ku compare na epl?mbona hamuizungumzi ligi one?acheni unafiki
Football fans tunaangalia mashindano tofauti, hata ikiwa MLS na ndio maana tunajua EPL na la liga na kufikia uamuzi wa ipi ni ligi bora kuliko nyingine. Hapa napata picha wewe hujawahi kuangalia la liga lakini umedandia treni tu kubisha, sasa unataka kubisha nini?