EPL ni ligi dhaifu

Football fans tunaangalia mashindano tofauti, hata ikiwa MLS na ndio maana tunajua EPL na la liga na kufikia uamuzi wa ipi ni ligi bora kuliko nyingine. Hapa napata picha wewe hujawahi kuangalia la liga lakini umedandia treni tu kubisha, sasa unataka kubisha nini?
 
Kweli mkuu vipi kutufuatilia na li ligi letu,mbovu mbovu si muiache.utazungumziaje mimba wakati huwezi kutunga
 
Pesa tunazo,ushindani tunao,umaarufu tunao we unafikiria azam ni wajinga waoneshe ligi isiyo na faida,mbona dstv wasiipe kipaumbele ligi ingine,epl ndo ligi yetu kaeni na ligi yenu.ndo maana wengine wanaamini mungu wengine hawaamini.mtaleta ubishi wa messy na ronaldo mwishowe.
 
washabiki wa EPL ni kama nyumbu kufuata mkumbo. hawaangalii ubora.
 
washabiki wa EPL ni kama nyumbu kufuata mkumbo. hawaangalii ubora.
mnatafuta kuungwa mkono,kila mtu na chaguo lake hata binaadam ana miguu miwili lakini kuvaa suruali lazima aanze na mguu mmoja.nyumbu tumechagua kuliwa na simba.tunawatakia la liga njema.
 
Achana na hao viwete wanaotumia manguvu uwanjani badala ya akili,Spain mambo yote! LA LIGA...MESSI OYEE
 
Achana na hao viwete wanaotumia manguvu uwanjani badala ya akili,Spain mambo yote! LA LIGA...MESSI OYEE
always wanaume hutumia nguvu sio unacheza na timu kila ukiwakaba wachezaji kadi.mtuachie ligi tuipendayo.
 
Unasema EPL ligi dhaifu mle Huyo Messi EPL tuone kama atatamba tatizo nikubebwa tu na marefa. Mimi n EPL ndio maana tunalipa dstv being mbaya tuioone hiyo yakuonyeshwa na Azam angalieni nyie
 
sasa kama france psg anaongoza kwa tofauti ya point45, sasa hiyo ligi gani
 
Unasema EPL ligi dhaifu mle Huyo Messi EPL tuone kama atatamba tatizo nikubebwa tu na marefa. Mimi n EPL ndio maana tunalipa dstv being mbaya tuioone hiyo yakuonyeshwa na Azam angalieni nyie
Huyu huyu Messi aliyewapiga Arsenal au Messi wa Azam mkuu??
 
Aiseee mtanange mkalii kweli kweli pamoja na kwamba na Mimi ni mnazi wa EPL timu zetu huku ubora ubora wake kiukwel uko chini ndo maana huku UEFA tunapigika sana pamoja na kuwa tuna timu nying zinazotuwakilisha
 
Waje EPL hao Barca na Real kama hawatachukua mtungo kama kawa.
 
Unasema EPL ligi dhaifu mle Huyo Messi EPL tuone kama atatamba tatizo nikubebwa tu na marefa. Mimi n EPL ndio maana tunalipa dstv being mbaya tuioone hiyo yakuonyeshwa na Azam angalieni nyie

Messi yupi sasa?
 
ndiyo maana wachezaji wazuri wakienda inawashinda. ni kama ngoma isiyo na stepu.
 
EPL ni ligi ya kipuuzi sana. Timu zote zina viwango sawa, viwango vidogo.

Bingwa mtetezi akikutana na Aston Villa matokeo hayajulikani watu wanakaa dakika 90 kusubiri. Ujinga kabisa huu.
HILO NDIO SOCCER AU FOOTBALL SIO SHOWOFF ZA UFUKWENI,ILE NIKAZI AISEE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…