Harry Kane wa Tottenham Spurs, Alexis Sanchez wa Arsenal, Phillippe Coutinho wa Liverpool, David De Gea wa Manchester United, Diego Costa wa Chelsea na Eden Hazard wa Chelsea, wamechaguliwa kugombea tuzo ya mchezaji bora wa PFA Player of the Year Award kwa msimu huu.
Wewe unahisi nani anastahili kushinda tuzo hiyo kutokana na viwango walivyovionyesha msimu huu?
Kuna tofauti kubwa sana kati ya hispain na uingereza yani kwa hispania huyo hazard uwezo wake hauzid wa james wa real madrid ila huko kwenu et ndio bora Najtahd kufikili kama angekuwa neymar isco iniesta bacca n.k si ndo tungekuwa hatupumui kwa makelele yenu ILA PASIPO USHABIKI KIUPANDE WANGU HAZARD anastaili
Huku tutachagua mchezaji kutokana na mahaba ya timu zetu ila kwa upande wangu De Gea anastahili sana, ndio kwa kiasi kikubwa kaifikisha Man U hapa ilipo kwa msimu huu.
Sahau kwa goalkeeper kuchukua tuzo coz huyo degea hata kweny kipa anayeongoza kwa clean sheets uingereza hayupo anaogoza foster sasa wew unataka kumlinganisha goalkeepers na kina kane, hazard, costa, sanchez acha kabisa