Huku tutachagua mchezaji kutokana na mahaba ya timu zetu ila kwa upande wangu De Gea anastahili sana, ndio kwa kiasi kikubwa kaifikisha Man U hapa ilipo kwa msimu huu.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya hispain na uingereza yani kwa hispania huyo hazard uwezo wake hauzid wa james wa real madrid ila huko kwenu et ndio bora Najtahd kufikili kama angekuwa neymar isco iniesta bacca n.k si ndo tungekuwa hatupumui kwa makelele yenu ILA PASIPO USHABIKI KIUPANDE WANGU HAZARD anastaili
Alexis sanchez
Umeingza unadhi hapo
ulitaka nimtaje nani ?
Mchezaji bora kbsa wa mabingwa wapya wa EPL malizia mwenyewe
Mi nafikfiri tukiangalia kwa individual performance Hazard anachukua,chipukizi atastahili Harry Kane...ila kwa team wise Hazard pia atachukua,kwa chipukizi De gea anastahili zaidi kuliko Kane.
EDIN HAZARD anastahili hii tuzo.....mwisho wa ligi uchezaji wake mzuri utaonekana kwa atakachokipata yeye na timu yake! EPL TROPHY.
Waingereza hao,hazard mapenati anastaili but ctashangaa kupewa hary kane