EPL: PFA Player of the Year Award

EPL: PFA Player of the Year Award

Bila ushabiki..wala unazi wa timu PFA PLAYER OF THE YEAR. iiiiiiiiisCoutinho from Liverpool na mchezaji chipukizi Harry Kane....wanastahili
 
Huku tutachagua mchezaji kutokana na mahaba ya timu zetu ila kwa upande wangu De Gea anastahili sana, ndio kwa kiasi kikubwa kaifikisha Man U hapa ilipo kwa msimu huu.

Bora hata ungesema felaini ndio kawafikisha hapo,maana mechi alizocheza felaini nyingi ndo mmepata matokeo na ambazo hajacheza nyingi ndo mmeharibu.

Hazard anasababu ya kustahili kuchukua,na atachukua
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya hispain na uingereza yani kwa hispania huyo hazard uwezo wake hauzid wa james wa real madrid ila huko kwenu et ndio bora Najtahd kufikili kama angekuwa neymar isco iniesta bacca n.k si ndo tungekuwa hatupumui kwa makelele yenu ILA PASIPO USHABIKI KIUPANDE WANGU HAZARD anastaili

Vipi kuhusu Angel Dimaria,Falcao,Ozil? na Negredo je? nilitaka kumsahau Soldado!
Hao walikuwa wanawika La liga lakin EPL wamekuwa wakawaida sana.
 
Mchezaji bora kbsa wa mabingwa wapya wa EPL malizia mwenyewe
 
Mi nafikfiri tukiangalia kwa individual performance Hazard anachukua,chipukizi atastahili Harry Kane...ila kwa team wise Hazard pia atachukua,kwa chipukizi De gea anastahili zaidi kuliko Kane.
 
Mi nafikfiri tukiangalia kwa individual performance Hazard anachukua,chipukizi atastahili Harry Kane...ila kwa team wise Hazard pia atachukua,kwa chipukizi De gea anastahili zaidi kuliko Kane.

kuwa mkweli wa mambo hazard anamzidi nini sanchez ?
 
Last edited by a moderator:
EDIN HAZARD anastahili hii tuzo.....mwisho wa ligi uchezaji wake mzuri utaonekana kwa atakachokipata yeye na timu yake! EPL TROPHY.
 
EDIN HAZARD anastahili hii tuzo.....mwisho wa ligi uchezaji wake mzuri utaonekana kwa atakachokipata yeye na timu yake! EPL TROPHY.

Suarez ??
van persie ??
Bale ??
walichukua nini ?
 
Back
Top Bottom