EPL wana vituko sana, wanalazimisha watu kuvaa vitambaa vya upinde ila mtu ukivaa Tshirt inayoonesha imani yako kwa Yesu Kristo wanakuletea noma

EPL wana vituko sana, wanalazimisha watu kuvaa vitambaa vya upinde ila mtu ukivaa Tshirt inayoonesha imani yako kwa Yesu Kristo wanakuletea noma

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Screenshot_20250429-210727.png


Haya ni matokeo ya nchi kuegemea katika mrengwa wa kushoto/liberals.

Wanajua Yesu aendani na ushetani wao wa ushoga wao sasa wanaudhika
 
Vita ni nzito! Ajenda inasukumwa Kwa nguvu kubwa sana.!

Kila platform hii mijamaa ya upinde Wanataka kui utilize.

Kwenye mitandao google, Facebook n.k wameinunua kusukuma agenda!

Mungu aingilie kati...vita ni nzito
 
Back
Top Bottom