Epraimu Kibonde na Gerald Hando mkihama clouds mmeua kila kitu

Epraimu Kibonde na Gerald Hando mkihama clouds mmeua kila kitu

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,420
Nipo hapa kijiweni kiboroloni watu wamesikitika sana kitendo cha kibonde kutowepo clouds leo,watu hapa moshi wanaheshimu sana hao watu wawili,eti wakihama clouds lazima wafunge kituo manake kutakuwa hamna wasikilizaji tena,,tehehetehehe,,imekaaje wakuu????
 
umetumwa na tayari ushapewa advance!
 
Kwani hao uliowataja wanatangaza vipindi vyote clouds? We umetumwa!
 
Gerald hando keshalala mbele,bado kibonde
 
Nipo hapa kijiweni kiboroloni watu wamesikitika sana kitendo cha kibonde kutowepo clouds leo,watu hapa moshi wanaheshimu sana hao watu wawili,eti wakihama clouds lazima wafunge kituo manake kutakuwa hamna wasikilizaji tena,,tehehetehehe,,imekaaje wakuu????
Wachaga sio Ma K Kias iko nyie mnajidanganya. Af we mtorii utakawa wa Tanga na si wa KLM
 
Hivi bado unasikiliza hii redio? Nshaizika cku nyingi nakaribia azimisha kumbukumbu ya miaka kadhaa toka ifariki maskioni mwangu. RIP Clouds FM.
 
Hivi bado unasikiliza hii redio? Nshaizika cku nyingi nakaribia azimisha kumbukumbu ya miaka kadhaa toka ifariki maskioni mwangu. RIP Clouds FM.

hao watu elimu yao vipi maana wanatia mashaka. Viredio hivi ni vingi kila mmoja anaweka ndugu zake watangaze, hopeless
 
Hakuna watu bureee kabisa kama Kibonde na Hando,ni vibaraka wa wazi kabisa wa CCM.....
 
kuna siku kibonde matokeo yake yalibandikwa chuoni, huyu jamaa ni ziro kichwani ndomana kila siku anajipendekeza kwa kikwete na ruge. niliacha kusikiliza hiyo redio kwasababu ya mangese kama hawa.
 
Kulikoni mods muonyeshe double standards? Mtu kabandika picha za vinyesi hadi sasa hamjashugulikia mnwamwacha anapeta tu, wakati wengine mnawapiga ban ya mwezi.
 
Kulikoni mods muonyeshe double standards? Mtu kabandika picha za vinyesi hadi sasa hamjashugulikia mnwamwacha anapeta tu, wakati wengine mnawapiga ban ya mwezi.

............good one, kuna kicheche kakurupuka kule kwenye sports, kapewa upper cut, mbiyo kavua jezi, kavaa joho anatuma warning kwa watu, lakini haya ni poa tu

tambarare hiyo
 
............good one, kuna kicheche kakurupuka kule kwenye sports, kapewa upper cut, mbiyo kavua jezi, kavaa joho anatuma warning kwa watu, lakini haya ni poa tu

tambarare hiyo

lol!...
 
very true

i was amused really, it was so cheap!!

Anyway, life goes on....

It sure cracked me up, dude... lakini hamna jipya hapa. Kama kawa, kwa staili ya Bongo mdundo, all appeals to objectivity and fairness go out of the window, na MODS nao wako busy wana-pursue agenda na vendetta zao binafsi ...
 
Back
Top Bottom