Epraimu Kibonde na Gerald Hando mkihama clouds mmeua kila kitu

Epraimu Kibonde na Gerald Hando mkihama clouds mmeua kila kitu

............good one, kuna kicheche kakurupuka kule kwenye sports, kapewa upper cut, mbiyo kavua jezi, kavaa joho anatuma warning kwa watu, lakini haya ni poa tu

tambarare hiyo
Dude lolz
 
tukubali kuwa kibonde na hando somehow walikuwa nguzo ya clouds
sasa kama hando kaondoka na tunasikia kibonde anaondoka kwenda aljzeera tutaona nini kitatokea
 
Kwani hamjui Clouds ni rahisi kuisikiliza sababu hakuna kikubwa kinacho ongelewa , kujifunza kwa kusikiliza hiyo radio ni kidogo sana .Kuendelea kuwepo itakuwepo sababu wasikilizaji wake wengi ndio wale wasio na upeo na ambao ndio wengi, hata kwa ratings inawezekana iko no 1. Kwa kifupi ni radio ya Mambumbumbu, hapo hamuwezi shindana nayo mambumbu wako wengi zaidi. Halafu huyu Dr Isac Maro, ni kazi sana kumsikiliza , kwa maswali yake ya kimzaha mzaha, namtiririko wake wa kuhoji haueleweki na anapoteza muda mwingi kuongelea ishu moja. Bora akauze sura kwenye TV kipindi cha mzik na B12 i, au abaki huko huko kwenye Kutibu.
 
Back
Top Bottom