Wachaga sio Ma K Kias iko nyie mnajidanganya. Af we mtorii utakawa wa Tanga na si wa KLMNipo hapa kijiweni kiboroloni watu wamesikitika sana kitendo cha kibonde kutowepo clouds leo,watu hapa moshi wanaheshimu sana hao watu wawili,eti wakihama clouds lazima wafunge kituo manake kutakuwa hamna wasikilizaji tena,,tehehetehehe,,imekaaje wakuu????
Hivi bado unasikiliza hii redio? Nshaizika cku nyingi nakaribia azimisha kumbukumbu ya miaka kadhaa toka ifariki maskioni mwangu. RIP Clouds FM.
Wachaga sio Ma K Kias iko nyie mnajidanganya. Af we mtorii utakawa wa Tanga na si wa KLM
Kulikoni mods muonyeshe double standards? Mtu kabandika picha za vinyesi hadi sasa hamjashugulikia mnwamwacha anapeta tu, wakati wengine mnawapiga ban ya mwezi.
............good one, kuna kicheche kakurupuka kule kwenye sports, kapewa upper cut, mbiyo kavua jezi, kavaa joho anatuma warning kwa watu, lakini haya ni poa tu
tambarare hiyo
very truelol!...
Kumbuka pia akina Fina Mango na Kipanya!!aliondoka amina, akaondoka gadna sembuse hao vilaza.
very true
i was amused really, it was so cheap!!
Anyway, life goes on....