Kwani hamjui Clouds ni rahisi kuisikiliza sababu hakuna kikubwa kinacho ongelewa , kujifunza kwa kusikiliza hiyo radio ni kidogo sana .Kuendelea kuwepo itakuwepo sababu wasikilizaji wake wengi ndio wale wasio na upeo na ambao ndio wengi, hata kwa ratings inawezekana iko no 1. Kwa kifupi ni radio ya Mambumbumbu, hapo hamuwezi shindana nayo mambumbu wako wengi zaidi. Halafu huyu Dr Isac Maro, ni kazi sana kumsikiliza , kwa maswali yake ya kimzaha mzaha, namtiririko wake wa kuhoji haueleweki na anapoteza muda mwingi kuongelea ishu moja. Bora akauze sura kwenye TV kipindi cha mzik na B12 i, au abaki huko huko kwenye Kutibu.