Epuka kuandika matusi na maneno machafu kwenye Simu yako

Joined
Feb 11, 2023
Posts
96
Reaction score
182
Simu zetu Zinatunza kumbukumbu na mara nyingi hukuletea maneno unayoandika kwamba kama ndilo uendelee na kuchapa sentence.

Ubaya hutokea pale unapoandika haraka haraka na kutuma sms au ujumbe Kwa wapendwa na watu wetu muhimu.

Hii inawakuta wengi wanapochapa maneno na kuletewa neno kama chaguo.

Kwa mfano ..unamtumia ujumbe mkweo. Hamjambo? Ikatokea hamjambi.

Tanga hamjambo?

Ikaja

Yanga hamjambi

Ukajikuta unakosana na ndg na jamaa zako. k nk

Tuwe makini
 
Nakuunga mkono
 
Hivi unatumia text prediction ya kazi gani? Uvivu ndio unawaponzaga 🀣🀣🀣 zima
 
Kama mim kuna matusi buku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…