BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Sana. Hasa kwa nyie vitombi inahitaji umakini mkubwa.Nazichukia auto spelling/correction mno binafsi huwa naona zinanichelewesha naziturn off
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana. Hasa kwa nyie vitombi inahitaji umakini mkubwa.Nazichukia auto spelling/correction mno binafsi huwa naona zinanichelewesha naziturn off
.Auto correct kuna siku ndio nimetoka na simu dukani.
Nimeanza kuchat kabla ya masetting mengine hayajaendelea.
Nilikuwa nachapia mpaka aibu
Mnatumianaga matusi gani... yataje basi nichukue ujuziMimi na mademu zangu kutumiana maneno ya matusi ni kawaida ila acha uvivu type tu usitumie auto correct
Tecno na matusi ni chanda na peteSasa mtu una katecno kataachaje kuandika matusi?
🤣 mkuu mbona unaenda nje ya madaSana. Hasa kwa nyie vitombi inahitaji umakini mkubwa.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] nilikuwa nachomekeaa tu [emoji3578][emoji3578][emoji1787] mkuu mbona unaenda nje ya mada
Hili nalo ni muhimu sio ukienda kwenye google search ukitype B inakuletea previous search za Big a$$ 😁Kama unatafuta tafuta sana maneno mabovu google hakikisha uwe unaclear records hasa forms and cache