Epuka kuhifadhi aina hii ya Matunda kwenye Friji

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Je, unatambua kuwa kuna baadhi ya matunda na mboga za majani havitakiwi kuwekwa kwenye Friji?



Your browser is not able to display this video.
Kuna baadhi ya aina ya Matunda na mboga za majani havihitaji kuwekwa kwenye Friji (Jokofu), Mfano aina hizi za matunda (kwenye video)vikiwekwa kwenye Friji husababisha haya;
  1. Vitapata ukungu na madoa meusi
  2. Vitasinyaa
  3. haitaiva vizuri
  4. Vitageuka kuwa vyeusi
  5. Vitakauka
  6. Vitaondoa ladha yake ya asili
  7. kiasi cha sukari kitaongezeka
  8. Vitaharibika haraka
 
Ahhh, itajulikana mbele kwa mbele ! Na joto lote hapa mjini naachaje sasa kuweka hayo mazaga kwenye fridge ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…