Epuka Mavazi yafuatayo unapoenda kwenye Usahili 'interview'

Epuka Mavazi yafuatayo unapoenda kwenye Usahili 'interview'

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Joined
Aug 7, 2018
Posts
685
Reaction score
1,124
IMG_20210426_132857_287.jpg

Nguo zenye rangi ya kung'aa na urembo mwingi

Mapambo mengi kama, hereni, bangili, pete n.k

Nywele zenye rangi rangi

Manukato yenye harufu kali

'Makeup' nzito

Usivae mavazi yanayokuonesha upo kawaida sana 'casual'

Acha 'headphones' zako nyumbani

Utavaa mavazi tajwa hapo juu ikiwa tu aina ya usahili itakulazimu kufanya hivyo.
 
Upvote 3
Interview za engineering hawaangalii mavazi sijui umevaa je. Wanachozingatia huyu jamaa anajua vitu? Kwisha habari.

Labda kama unazungumzia interview za nafasi za Bank huko
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom