Ok9
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 4,549
- 4,133
Oral Sex (kwenda chumvini & Kulamba Koni) kunakuweka katika hatari ya kupata Kansa ya Koo, eg. Oesophagus Carcinoma or Squamous Cell Carcinoma. Hii hutokea pale utakapopata kirusi kinachoitwa HPV( Human Papillomavirus)ambao wako aina zaidi ya 100. Aina chache ya virusi hivyo husababisha Cancer.
Usijione fundi wa Oral Sex wakati unahatarisha maisha yako. Punguza chain ya mahusiano. Baki njia kuu. Michepuko sio dili.
Usijione fundi wa Oral Sex wakati unahatarisha maisha yako. Punguza chain ya mahusiano. Baki njia kuu. Michepuko sio dili.