MakinikiA JF-Expert Member Joined Jun 7, 2017 Posts 5,840 Reaction score 8,202 Nov 28, 2019 #1 Ukirudi nyumbani wanawake wenyewe tuliowaoa hawatufanyii massage
Ma mbwa JF-Expert Member Joined Apr 15, 2019 Posts 1,407 Reaction score 3,521 Nov 28, 2019 #2 Hivi kweli kuna mtu anakaa hivyo kwenye kompyuta? Au ni furahisha genge?
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,367 Reaction score 55,054 Nov 28, 2019 #3 Mmh labda ofisi za mateja ndizo zina hiyo mikao.
Troublemaker JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,834 Reaction score 40,641 Nov 28, 2019 #4 Sidhani kama kuna mtu anakaaga hivyo.
stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 18,094 Reaction score 27,978 Nov 28, 2019 #5 Weka na posture za mikao sahihi...
MakinikiA JF-Expert Member Joined Jun 7, 2017 Posts 5,840 Reaction score 8,202 Nov 28, 2019 Thread starter #6 stephot said: Weka na posture za mikao sahihi... Click to expand...
MakinikiA JF-Expert Member Joined Jun 7, 2017 Posts 5,840 Reaction score 8,202 Nov 28, 2019 Thread starter #7 Raoluoroliech said: Hivi kweli kuna mtu anakaa hivyo kwenye kompyuta? Au ni furahisha genge? Click to expand... kuna watu wanakaa kwenye computer masaa 10 unategemea watakuwa na mkao wa aina mmoja
Raoluoroliech said: Hivi kweli kuna mtu anakaa hivyo kwenye kompyuta? Au ni furahisha genge? Click to expand... kuna watu wanakaa kwenye computer masaa 10 unategemea watakuwa na mkao wa aina mmoja
Hazchem plate JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 11,059 Reaction score 15,534 Nov 28, 2019 #8 Ergonomic Hazards
Ma mbwa JF-Expert Member Joined Apr 15, 2019 Posts 1,407 Reaction score 3,521 Nov 28, 2019 #9 MakinikiA said: kuna watu wanakaa kwenye computer masaa 10 unategemea watakuwa na mkao wa aina mmoja Click to expand... na unadhani mkao sahihi mtu anaweza kukaa muda wa masaa 10?
MakinikiA said: kuna watu wanakaa kwenye computer masaa 10 unategemea watakuwa na mkao wa aina mmoja Click to expand... na unadhani mkao sahihi mtu anaweza kukaa muda wa masaa 10?
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 89,019 Reaction score 156,726 Nov 28, 2019 #10 Siku hizi tunatumia meza za kusimama.
Afisa Mteule Drj 2 JF-Expert Member Joined Mar 21, 2017 Posts 3,961 Reaction score 4,663 Nov 28, 2019 #11 Naona kuna mtu unapost jf amekaa kwa style moja wapo katika hizo