MakinikiA JF-Expert Member Joined Jun 7, 2017 Posts 5,104 Reaction score 6,827 Nov 28, 2019 #1 Ukirudi nyumbani wanawake wenyewe tuliowaoa hawatufanyii massage
Phdum JF-Expert Member Joined Apr 15, 2019 Posts 1,322 Reaction score 3,278 Nov 28, 2019 #2 Hivi kweli kuna mtu anakaa hivyo kwenye kompyuta? Au ni furahisha genge?
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 54,943 Nov 28, 2019 #3 Mmh labda ofisi za mateja ndizo zina hiyo mikao.
Vhagar JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,550 Reaction score 39,949 Nov 28, 2019 #4 Sidhani kama kuna mtu anakaaga hivyo.
stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 17,216 Reaction score 26,225 Nov 28, 2019 #5 Weka na posture za mikao sahihi...
MakinikiA JF-Expert Member Joined Jun 7, 2017 Posts 5,104 Reaction score 6,827 Nov 28, 2019 Thread starter #6 stephot said: Weka na posture za mikao sahihi... Click to expand...
MakinikiA JF-Expert Member Joined Jun 7, 2017 Posts 5,104 Reaction score 6,827 Nov 28, 2019 Thread starter #7 Raoluoroliech said: Hivi kweli kuna mtu anakaa hivyo kwenye kompyuta? Au ni furahisha genge? Click to expand... kuna watu wanakaa kwenye computer masaa 10 unategemea watakuwa na mkao wa aina mmoja
Raoluoroliech said: Hivi kweli kuna mtu anakaa hivyo kwenye kompyuta? Au ni furahisha genge? Click to expand... kuna watu wanakaa kwenye computer masaa 10 unategemea watakuwa na mkao wa aina mmoja
Hazchem plate JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 11,048 Reaction score 15,465 Nov 28, 2019 #8 Ergonomic Hazards
Phdum JF-Expert Member Joined Apr 15, 2019 Posts 1,322 Reaction score 3,278 Nov 28, 2019 #9 MakinikiA said: kuna watu wanakaa kwenye computer masaa 10 unategemea watakuwa na mkao wa aina mmoja Click to expand... na unadhani mkao sahihi mtu anaweza kukaa muda wa masaa 10?
MakinikiA said: kuna watu wanakaa kwenye computer masaa 10 unategemea watakuwa na mkao wa aina mmoja Click to expand... na unadhani mkao sahihi mtu anaweza kukaa muda wa masaa 10?
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 78,790 Reaction score 128,275 Nov 28, 2019 #10 Siku hizi tunatumia meza za kusimama.
Afisa Mteule Drj 2 JF-Expert Member Joined Mar 21, 2017 Posts 3,865 Reaction score 4,506 Nov 28, 2019 #11 Naona kuna mtu unapost jf amekaa kwa style moja wapo katika hizo