Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisaNdoa ikishakuwa na washauri Tele iko njiani kufa
Hapo kwenyePadre, hajawahi kuoa, anakushauri mambo ya ndoa, kwa uzoefu upi wa changamoto alioupitia yeye binafsi?
Mkishindwana nyie wawili hamna atakayeweza kuwasuluhisha
Mimi nimeongea basics tu ....baada ya kujua kwanini wamama wanaishi muda mrefu kuliko wababa, sisi tunaambizana hamna kushirikisha watu ila wao ni kutoa ya moyoni kwa watu wao. Awe mzazi , rafiki au saluni... sisi tunayabeba hatimaye tunaishia kwenye ulevi, pressure na maradhi ya moyo....unaondoka unamuacha. Mimi naona njia ni mbili tu, jifunze kupuuzia pale tabia za mwenzako zinavyokuwa chronic au kumuacha kabisa ... kama huwezi na unamtaka utatafuta wa kumueleza akushauri hata akiwa strangerMkuu....
Hayo nilio yaandika nimeyaishi kwa miaka mingi chief, na kuna meengi tumejifunza ndani ya ndoa.
Lakini pia ndoa ama mahusiano meengi leo yameimarika baada ya kupitia changamoto na wengi wamedumu baada ya kukaa chini na kuzungumzia matatizo na tofauti zao.
Good Morning to you.1. Ikiwa unapitia changamoto yeyote, usije ukaomba ushauri kwa Ex kwasababu huyu atakushauri kwa kusukumwa na wivu ama hisia.
2. Jitahidi kuto mshirikisha rafiki wako wa karibu changamoto za mahusiano yako kwasababu, huyu ni rahisi kukushauri kwa kutumia hisia kwasababu atayabeba maumivu yako.
3. Baba na mama yako sio vizuri kumshirikisha changamoto zako kwasababu ni rahisi kukushauri akuongozwa na hisia na sio kuongozwa na akili. Na pia dam ni nzito kuliko maji.
Ushauri wangu ni huu.....
Kwa yeyote anaetaka kudumu kwenye mahusiano ama ndoa, kwanza anatakiwa awe msiri wa mambo yake binafsi. Na panapo tokea changamoto yeyote, jifunze kumaliza matatizo yako wewe mwenyewe ama na mwenzako. Sio vyema kuwashirikisha watoto wako, ndugu ama wanao kuzunguka maumivu yako.
Ikiwa utashindwa kuzikabili changamoto zako then fanya maamuzi ambayo wewe binafsi unaona yanakufaa na yatauponya moyo wako.
Good morning sunshine....🙋♂️
Mimi nimeongea basics tu ....baada ya kujua kwanini wamama wanaishi muda mrefu kuliko wababa, sisi tunaambizana hamna kushirikisha watu ila wao ni kutoa ya moyoni kwa watu wao. Awe mzazi , rafiki au saluni... sisi tunayabeba hatimaye tunaishia kwenye ulevi, pressure na maradhi ya moyo....unaondoka unamuacha. Mimi naona njia ni mbili tu, jifunze kupuuzia pale tabia za mwenzako zinavyokuwa chronic au kumuacha kabisa ... kama huwezi na unamtaka utatafuta wa kumueleza akushauri hata akiwa stranger
Poleni sana mkuu...Uko sahihi naandika kutokana na uzoefu hayo yote unayoyasema kuna mtu wangu yeye alikuwa kinyume chake, yeye ndo anakimbia kuomba ushauri kwa watu hao uliowaorodhesha sasa alichovuna huko ni aibu, cha ajabu sasa mbali na kulipuliwa na bomo bado yupo na tabia hiyo ni mtu ambaye hawezi kutatua matatizo yake ya mahusiano bila hao watu uliowaorodhesha inakuwa ni fedhea tu kila siku[emoji29]
Kataa ndoa mkuuYaan unakuta mwenzako kitu kidogo ameshapiga simu Kila mahali,Sasa unasema haya yote ya nini.? ndoa ni kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maneno kuntu sana mkuuKwa yeyote anaetaka kudumu kwenye mahusiano ama ndoa, kwanza anatakiwa awe msiri wa mambo yake binafsi. Na panapo tokea changamoto yeyote, jifunze kumaliza matatizo yako wewe mwenyewe ama na mwenzako. Sio vyema kuwashirikisha watoto wako, ndugu ama wanao kuzunguka maumivu yako.
Ikiwa utashindwa kuzikabili changamoto zako then fanya maamuzi ambayo wewe binafsi unaona yanakufaa na yatauponya moyo wako.
hadi weweKataa ndoa mkuu