Epuka na usikubali kushauriwa na watu hawa katika Ndoa/Mahusiano yako.

Uko sahihi naandika kutokana na uzoefu hayo yote unayoyasema kuna mtu wangu yeye alikuwa kinyume chake, yeye ndo anakimbia kuomba ushauri kwa watu hao uliowaorodhesha sasa alichovuna huko ni aibu, cha ajabu sasa mbali na kulipuliwa na bomo bado yupo na tabia hiyo ni mtu ambaye hawezi kutatua matatizo yake ya mahusiano bila hao watu uliowaorodhesha inakuwa ni fedhea tu kila siku[emoji29]
 
Mimi nimeongea basics tu ....baada ya kujua kwanini wamama wanaishi muda mrefu kuliko wababa, sisi tunaambizana hamna kushirikisha watu ila wao ni kutoa ya moyoni kwa watu wao. Awe mzazi , rafiki au saluni... sisi tunayabeba hatimaye tunaishia kwenye ulevi, pressure na maradhi ya moyo....unaondoka unamuacha. Mimi naona njia ni mbili tu, jifunze kupuuzia pale tabia za mwenzako zinavyokuwa chronic au kumuacha kabisa ... kama huwezi na unamtaka utatafuta wa kumueleza akushauri hata akiwa stranger
 
Good Morning to you.
 
Mkuu, huko kupuuza ndipo kunawaua wanaume wengi naw days, naomba nikushauri tena kwamba.... ikiwa utaona kama mambo magumu ndani ya mahusiano ama ndoa, tafadhali iache hiyo ndoa na kama ni mahusiano yaache yaende mkuu.
Using'ang'anie mahusiano ama ndoa inayo kuumiza.
 
Poleni sana mkuu...
Huyo jamaa yako ataishi maisha magumu sana na mwisho atajikuta amechelewa kufanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi kisha ataishia shimo la tewa
 
Ndo maana ndoa hazidumu. Kuna option ya X. Hii option haikutakiwa hata kuwepo kwenye list ya kuzuiwa. X akishakuwa X anapaswa kuwa kwenye dampo la taka la kudumu.
 
Maneno kuntu sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…