Epuka sana. Ndani ya Mwezi tu umri wako unakuwa mara mbili yake. Usiombe

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Hatari sana. Unajua mambo mengine usijaribu kabisa ukadhani eti yanaweza kukusaidia. Mimi nina miaka 40 ukinicheck sababu nakula vizuri, mazoezi kiasi flani na pia sina mawazo. Unaweza dhani nipo 20s,30s. Sema tu utashtuka kwa madini nayotema.anyway hiyo siyo issue kwako.

Unamjua bwana mdogo Kipchoge? Mwanariadha aliyeweka kumbukumbu ya kukimbia kms 42 chini ya masaa mawili. ushamfahamu eeeeh? Ndo huyo sasa.

We mwenyewe mcheck. Unadhani ana umri gani?sema tu kwa mwono wako.wala haitakuwa so. Ana umri gani? Ha ha ha...huyo ni bwana mdogo tu sema ulaji wa kupitiliza wa cement na malimao ndo umemkausha hivyo. Sasa kwa taarifa yako ana miaka 34 tu. Wala Mstaafu kama unavyodhani kuwa atakuwa kwenye 60 Plus Plus huko.

Mcheck mwenyewe. Then ndo tujadiliane mambo kadhaa.


Jamaa inawezekana hata sperms hana. Atakuwa anatoa upepo tu. Kakausha mafuta yote na protein mwilini... Akitema atakuwa anatoa gesi/upepo tu. Sha sha shaa....sasa sperms unadhani atatoa wap?ikiwa anakula sement na kunywa juice ya limao. Uso kama babu.
Too much is harmful asikwambie mtu.
 
Hawa jamaa wanajitesaga sana hadi kufikia hizo achievements
 
Embu njoo uelezee vizuri unatupa shida maslow learner
 
[emoji848] kama usemayo ni kweli basi ni nomaa...

Haraka haraka nikimtizama jamaa ana miaka 70s [emoji3]
 
Acha wivu, mtafute babu wa miaka 60 akakimbie 42kms in less than 2hrs. He looks 34 to me.
 
Kuna watu kama wamedumaa vile sijui ni ugonjwa au nini mdogo lkn anaonekana mkubwa mbona ujatolea mfano hapa kwetu
Yule harakaharaka ana umri gan
 
Reactions: Qwy
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…