duh hapo si unatengeneza sumu mkuu au imekaaje hiyoWatu wajasiri wanakunywa PANADOL 2 NA PEPSI AU KOKA.....MZEE BABA ANASIMAMA KAMA NGUZO YA UMEME SIKU NZIMA
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kama nguzo ya umemeWatu wajasiri wanakunywa PANADOL 2 NA PEPSI AU KOKA.....MZEE BABA ANASIMAMA KAMA NGUZO YA UMEME SIKU NZIMA
do! wanaume ni shiiiiiiiiida! punguzeni mawazo, fanyeni mazoezi, kuleni matunda, kunyweni maji mengi, acheni kula viungo vya mboga (chips) na mambo yatakwenda vizuri.Watu wajasiri wanakunywa PANADOL 2 NA PEPSI AU KOKA.....MZEE BABA ANASIMAMA KAMA NGUZO YA UMEME SIKU NZIMA
Hiyo inaitwa dont try this at home. Mwili na mwili ndugu yangu. Kuna wana mi nawajua wanatumia hiyo kitu....ila usijaribu huwezi jua reaction ya mwili wako italeta nini.duh hapo si unatengeneza sumu mkuu au imekaaje hiyo
Hao si ndio wanaofia juu ya papuchiWatu wajasiri wanakunywa PANADOL 2 NA PEPSI AU KOKA.....MZEE BABA ANASIMAMA KAMA NGUZO YA UMEME SIKU NZIMA
Unataka uuwe watu etiWatu wajasiri wanakunywa PANADOL 2 NA PEPSI AU KOKA.....MZEE BABA ANASIMAMA KAMA NGUZO YA UMEME SIKU NZIMA
Sumu Iyoduh hapo si unatengeneza sumu mkuu au imekaaje hiyo
Unachanganya na asali..Unakunywa kijiko kimoja cha chai Mara mbili kwa siku
Vijana wetu wanaangamia kwa kukosa maarifa aisee. Sasa panadol mbili, cocacola na sijui eti mafuta ya habbat soda na nguvu za kiumeni wapi na wapi? tumieni akili sawasawa. Wewe punguza kitambi hicho, fanya mazoezi na acha kula chipsi. Hakuna shortcut. Wewe una tumbo kubwa kama mama mwenye mimba ya miezi 8 na nusu sasa nguvu uzitoe wapi? Hata unywe pipa la habbat soda, nusu dakika itakuhusu
Hpn kama tayari unatatizo pia ni sio mbaya kufanya hivyo lkn pia mafuta ya habbat soda inasaidiaVijana wetu wanaangamia kwa kukosa maarifa aisee. Sasa panadol mbili, cocacola na sijui eti mafuta ya habbat soda na nguvu za kiumeni wapi na wapi? tumieni akili sawasawa. Wewe punguza kitambi hicho, fanya mazoezi na acha kula chipsi. Hakuna shortcut. Wewe una tumbo kubwa kama mama mwenye mimba ya miezi 8 na nusu sasa nguvu uzitoe wapi? Hata unywe pipa la habbat soda, nusu dakika itakuhusu