Epuka utapeli nguvu za kiume zipo hapa

Epuka utapeli nguvu za kiume zipo hapa

Mhdiwani

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
650
Reaction score
712
Habari za majukumu wakuu bila shaka mko poa
Kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu
Sisi Wanaume tunakutana Na changamoto kubwa sana hasa ktk kuwaridhisha wapenzi wetu
Kama tatizo hilo unalo ndugu yangu achana Na wanaojifanya madokta Na kuuza dawa 50,000 na kuendelea hlf pia haisaidii

Tafuta mafuta ya habbat soda ya 10,000 tu hakika utanishukuru baadae
 
Hujawaelekeza jinsi ya kuyatumia hayo mafuta kama kupaka au kunywa au kujifukiza, hebu toa maelekezo mkuu.
 
Watu wajasiri wanakunywa PANADOL 2 NA PEPSI AU KOKA.....MZEE BABA ANASIMAMA KAMA NGUZO YA UMEME SIKU NZIMA
do! wanaume ni shiiiiiiiiida! punguzeni mawazo, fanyeni mazoezi, kuleni matunda, kunyweni maji mengi, acheni kula viungo vya mboga (chips) na mambo yatakwenda vizuri.
 
duh hapo si unatengeneza sumu mkuu au imekaaje hiyo
Hiyo inaitwa dont try this at home. Mwili na mwili ndugu yangu. Kuna wana mi nawajua wanatumia hiyo kitu....ila usijaribu huwezi jua reaction ya mwili wako italeta nini.
 
Unakunywa kijiko kimoja cha chai Mara mbili kwa siku
 
Vijana wetu wanaangamia kwa kukosa maarifa aisee. Sasa panadol mbili, cocacola na sijui eti mafuta ya habbat soda na nguvu za kiumeni wapi na wapi? tumieni akili sawasawa. Wewe punguza kitambi hicho, fanya mazoezi na acha kula chipsi. Hakuna shortcut. Wewe una tumbo kubwa kama mama mwenye mimba ya miezi 8 na nusu sasa nguvu uzitoe wapi? Hata unywe pipa la habbat soda, nusu dakika itakuhusu
 
AhahhH kwa hyo solution ni kupunguza kitambi na unene ?

Hpn kama tayari unatatizo pia ni sio mbaya kufanya hivyo lkn pia mafuta ya habbat soda inasaidia
 
Back
Top Bottom