The next JPM
Member
- Feb 22, 2023
- 22
- 46
Habari wakuu hope ni wazima wa afya, pasi na kupoteza muda ni ende kwenye mada.
Ewe kijana wa kiume kama unataka kuishi maisha ya furaha, Raha, amani, na maisha marefu Kaa mbali na viumbe wanao itwa Wanawake.
Kama unataka mafanikio ewe mwanaume kataa ndoa, Wanawake ni matapel, wanawake hawafai, wanawake ni wabinafsi sana.
Ee Kijana wa kiume zingatia haya
π Hakikisha unapenda wazazi wako na ndugu zako wa kuzaliwa
π Hakikisha una marafiki wachache wazuri
π Hakikisha una uhakika wa chakula mezani
Kwa kufanya hayo utaishi maisha marefu ya Raha na furaha.
Mm badi ni Kijana mdogo sana nipo below 23, lakn kwa jinsi watu wanavyo post nyuzo mbalimbali juu ya wanawake
Nimejifunza kama mwanauma anataka awe na furaha basi awe mbali na Hawa viumbe wanawake
π‘π‘ Kataa ndoa, chukua ndoa,π‘π‘