Epuka wanawake ili uishi Kwa furaha

Epuka wanawake ili uishi Kwa furaha

😂😂😂Pigeni tuu nyeto as replacement..
Muue izo strong muscles alaf cku itakapofika unahitaj kuonekana mtu wa maana kwenye jamii mambo yanaanza kugoma kusimama😂😂😂 au ndo ile 30 sec alaf basii.. 😂😂😂
Ah mie wala aijisumbui eti nisimamie mbususu dakika 40 kisa kumridhisha mwanamke. Hapa mie ni dakika 2 x round 3 basi.
Always remember mwanamke has more options than a man. So atapata yule ambaye atamtomber vizuri. That am sure of. Na uzuri wanawake wengi wapo tayari kumpa mbususu mwanaume kama sie wakina mzabzab ambao hatujui kutomber as long as hela ipo na una mjali. Thats the beauty of haya mambk ya kugegedana
 
Mtoa mada katoka kupigwa na kitu kizito kichwani Sasa kaja humu kuwadiss wanawake.

Please just go back to drawing board and begin afresh.A man can't do without a woman.
 
😂😂😂Pigeni tuu nyeto as replacement..
Muue izo strong muscles alaf cku itakapofika unahitaj kuonekana mtu wa maana kwenye jamii mambo yanaanza kugoma kusimama😂😂😂 au ndo ile 30 sec alaf basii.. 😂😂😂
😂🤣 30 sec and its over and over
 
Wengine tushauvaa mkenge😢....yaan tulishaoa kwa mbwembwe sasa huu ushauri umechelewa kwetu......Wanawake waacheni tu waishi wapendavyo maana hao hatujui waliongea nn na shetani pale eden😩😩
 
Wanawake ni kama maji tu , usipooga utayanywa tu . As a matter of fact ...hakuna raha ya mwanaume bila mwanamke. Hili linamsingi wa kimaumbile ya asili na uumbaji wa Mungu.

Adamu hakuwa kuhisi furaha adi alipoletewa Hawa.
 
Habari wakuu hope ni wazima wa afya, pasi na kupoteza muda ni ende kwenye mada.

Ewe kijana wa kiume kama unataka kuishi maisha ya furaha, Raha, amani, na maisha marefu Kaa mbali na viumbe wanao itwa Wanawake.

Kama unataka mafanikio ewe mwanaume kataa ndoa, Wanawake ni matapel, wanawake hawafai, wanawake ni wabinafsi sana.

Ee Kijana wa kiume zingatia haya
📌 Hakikisha unapenda wazazi wako na ndugu zako wa kuzaliwa
📌 Hakikisha una marafiki wachache wazuri
📌 Hakikisha una uhakika wa chakula mezani
Kwa kufanya hayo utaishi maisha marefu ya Raha na furaha.

Mm badi ni Kijana mdogo sana nipo below 23, lakn kwa jinsi watu wanavyo post nyuzo mbalimbali juu ya wanawake
Nimejifunza kama mwanauma anataka awe na furaha basi awe mbali na Hawa viumbe wanawake
😡😡 Kataa ndoa, chukua ndoa,😡😡
.......inawezekana kweli wanawake ni wabaya lakini tujitahidi basi kuwa specific au tutoe conditions, tunaposema mwanamke hafai au ni mbaya au ana faida Kwa mwanaume wakati huohuo tunajua kuwa unapomwona mwanaume yoyote popote pale duniani (hata Putin na Biden) ni zao la mwanamke huyohuyo hapo nafikiri tunawakosea sana,lakini piatusihukuumu wanawake wote kwa mapungufu ya mwanamke mmoja au wawili uliokutana nao......
 
Habari wakuu hope ni wazima wa afya, pasi na kupoteza muda ni ende kwenye mada.

Ewe kijana wa kiume kama unataka kuishi maisha ya furaha, Raha, amani, na maisha marefu Kaa mbali na viumbe wanao itwa Wanawake.

Kama unataka mafanikio ewe mwanaume kataa ndoa, Wanawake ni matapel, wanawake hawafai, wanawake ni wabinafsi sana.

Ee Kijana wa kiume zingatia haya
📌 Hakikisha unapenda wazazi wako na ndugu zako wa kuzaliwa
📌 Hakikisha una marafiki wachache wazuri
📌 Hakikisha una uhakika wa chakula mezani
Kwa kufanya hayo utaishi maisha marefu ya Raha na furaha.

Mm badi ni Kijana mdogo sana nipo below 23, lakn kwa jinsi watu wanavyo post nyuzo mbalimbali juu ya wanawake
Nimejifunza kama mwanauma anataka awe na furaha basi awe mbali na Hawa viumbe wanawake
😡😡 Kataa ndoa, chukua ndoa,😡😡
Eti chukua ndoa...na mtajichanganya kweli mwaka huu
 
Mm badi ni Kijana mdogo sana nipo below 23, lakn kwa jinsi watu wanavyo post nyuzo mbalimbali juu ya wanawake
Nimejifunza kama mwanauma anataka awe na furaha basi awe mbali na Hawa viumbe wanawake
😡😡 Kataa ndoa, chukua ndoa,😡😡
Wewe kijana wa miaka 22 na nusu unakuja hapa kutoa ushauri wakati cv yako ni ya mistari mitatu: jina, tarehe uliyozaliwa na unapoishi.

Tulia uione dunia kwanza usijivishe mambo kichwa kichwa.
 
Habari wakuu hope ni wazima wa afya, pasi na kupoteza muda ni ende kwenye mada.

Ewe kijana wa kiume kama unataka kuishi maisha ya furaha, Raha, amani, na maisha marefu Kaa mbali na viumbe wanao itwa Wanawake.

Kama unataka mafanikio ewe mwanaume kataa ndoa, Wanawake ni matapel, wanawake hawafai, wanawake ni wabinafsi sana.

Ee Kijana wa kiume zingatia haya
[emoji419] Hakikisha unapenda wazazi wako na ndugu zako wa kuzaliwa
[emoji419] Hakikisha una marafiki wachache wazuri
[emoji419] Hakikisha una uhakika wa chakula mezani
Kwa kufanya hayo utaishi maisha marefu ya Raha na furaha.

Mm badi ni Kijana mdogo sana nipo below 23, lakn kwa jinsi watu wanavyo post nyuzo mbalimbali juu ya wanawake
Nimejifunza kama mwanauma anataka awe na furaha basi awe mbali na Hawa viumbe wanawake
[emoji35][emoji35] Kataa ndoa, chukua ndoa,[emoji35][emoji35]
"Penda wazazi wako, na ndugu zako" hao wote ni zao la ndoa, (wazazi means baba na mama=ndoa, ndugu zako mnaozaliwa pamoja ni matokeo ya ndoa ya baba na mama)

Lakini kwa ujinga wako unahamasisha kuikataa ndoa ili uzae zae hovyo, uwe mzinzi mzinzi tu na Malaya Malaya hivi...
Vijana hii kampeni ya kukataa ndoa, ni miongoni mwa kampeni za hovyo kabisa chini ya ardhi yetu, hatupaswi kuishadadia wala kuipa nafasi kwani ina athari kubwa mno mbele ya safari, taifa kuwa na watu wa aina yako ni hatari sana!

Sababu mnazozitoa ku-justify kampeni yenu ya kukataa ndoa ni dhaifu mno, kama ni kuchapiwa haijaanza leo,hata Mzee wako yawezekana alishachapiwa sana tu mama yako ila kiume alikomaa na kuijenga familia yake mpaka leo unaisifia hapa!

Vijana oeni, tengenezeni familia Kwa maslahi mapana ya taifa letu, wewe utapita, fikiria nyuma yako unaacha nini? Taifa ni muhimu kuliko wewe, lifikirie hilo,oa jenga familia jenga taifa lako!
Ninaandika chiefmangu kutoka safu za milima ya Livingston Kwa maslahi ya taifa!
 
Uliandika huku ukinywa gongo, hivi kwa akili yako hiyo ya kilevi baba yako angekataa kuoa ungekuwepo duniani kenge wewe?
 
Habari wakuu hope ni wazima wa afya, pasi na kupoteza muda ni ende kwenye mada.

Ewe kijana wa kiume kama unataka kuishi maisha ya furaha, Raha, amani, na maisha marefu Kaa mbali na viumbe wanao itwa Wanawake.

Kama unataka mafanikio ewe mwanaume kataa ndoa, Wanawake ni matapel, wanawake hawafai, wanawake ni wabinafsi sana.

Ee Kijana wa kiume zingatia haya
[emoji419] Hakikisha unapenda wazazi wako na ndugu zako wa kuzaliwa
[emoji419] Hakikisha una marafiki wachache wazuri
[emoji419] Hakikisha una uhakika wa chakula mezani
Kwa kufanya hayo utaishi maisha marefu ya Raha na furaha.

Mm badi ni Kijana mdogo sana nipo below 23, lakn kwa jinsi watu wanavyo post nyuzo mbalimbali juu ya wanawake
Nimejifunza kama mwanauma anataka awe na furaha basi awe mbali na Hawa viumbe wanawake
[emoji35][emoji35] Kataa ndoa, chukua ndoa,[emoji35][emoji35]
Son sisi wanaume tuliumbwa tutawale hata ilo jina mwanamke sisi ndio tuliwapa pia sisi ndio wa kwanza kuumbwa na ndani yetu wakatengenezwa wao,
Kwaio ili uishi maisha marefu na ya raha inabidi ujipende kwanza wewe alafu wao hiyo ni kwenye kila kitu kamwe usiwapende wao kushinda wewe
 
Nakataa, kati ya wanawake ni lazima kuna mmoja wa kukupa raha. Shida ni kumtambua. Ukimtambua utaishi kama mfalme hapa duniani.
 
Back
Top Bottom