Epuka Watu Hawa 5 Leo Kwa Faida Yako

Kuna washikaji miyeyusho sana watu wanakwambia njoo mahali fulani tupo hapa kumbe wanakusubiri wewe ndiyo usimamie kila kitu watu hata aibu hawana.
Ukiwa umejiwekea mipaka yako , watu kama hao ni kuwaambia tu "mimi leo sina bajeti ya wote" wala hamna haja ya kuwaepuka.
 
Imekaa njema sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…