Bengal
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 26,371
- 28,790
NitaTuta au Utaš
NitaTuta au Utaš
Kajiblock Mwenyewe,hakupigi tena mzinga!Kuna mjinga alichukua afu 20 yangu kwa style hiyo tangu asema atairudisha Jumatano, zimeshapita Jumatano tatu na haoneshi dalili za kulipa.
We acha ndugu yangu, pombe noma sana,nilipewa Hela ya Mtu,nilimaza zangu,nikanywea na za jamaa!Majuto balaa!Ni sawa na pombe,
Raha ya pombe ujute kwa uliyo yafanya jana yake.
inaonekana umbea upo kwenye damunitajitahidi kote ila kuletewa umbea alf nisisikilize aaah hapana mwanetu am soreee
kabisaaaa mkuuinaonekana umbea upo kwenye damu
Mambo nisaidie kunitag ule uzi wa vitabu siuoniMada nzuri
bac upewe maua yakokabisaaaa mkuu
napokeabac upewe maua yako
Hebu niache sadala hapoMada nzuri
Sio masama Road bwashee?Hebu niache sadala hapo
Huwa sipendi iwe hivyo.Kajiblock Mwenyewe,hakupigi tena mzinga!
Hapo mkuu,utadhani atakuomba Tena, atakuwa anajishtukia tuu!Huwa sipendi iwe hivyo.
Natamani mtu awe loyal ili tuendelee kusaidiana siku hadi siku.
najua hawezi kuomba tenaHapo mkuu,utadhani atakuomba Tena, atakuwa anajishtukia tuu!
Kuna jamaa yangu mmoja nae Hana aibu,anadeni na anajua,anamwambia,niongezee ili iwe elfu 70!,deni juu ya deni.najua hawezi kuomba tena
japo wengine huwa hawana aibu.
umenikumbusha miaka kadhaa, jamaa nilimuamin nikampa kama laki tatu. wakati huo ilikuwa zaidi ya nusu ya mshahara wangu.Kuna jamaa yangu mmoja nae Hana aibu,anadeni na anajua,anamwambia,niongezee ili iwe elfu 70!,deni juu ya deni.
Duuh pole mkuu,mtu Kama huyo,unamwagizia kitu akununulie bila haraka ,akinunua,unauchuna!umenikumbusha miaka kadhaa, jamaa nilimuamin nikampa kama laki tatu. wakati huo ilikuwa zaidi ya nusu ya mshahara wangu.
muda wa kuilipa ulipofika akaanza kona kona na visingizio kibao.
baada ya muda akanilipa pesa kiasi kama 150k akiahidi nyingine atamalizia.
huku na huku akaja tena kuniambia nimuongezee tena laki 1 atailipa pamoja na lile deni la mwanzo.
nikajua huyu jamaa ameshaniona mimi fala. kwa kweli hela nilikuwa nayo ila sikumpa na tangu hapo hadi leo hakuwahi kunilipa lile deni ishapita miaka 6 sasa.
Kuna washikaji miyeyusho sana watu wanakwambia njoo mahali fulani tupo hapa kumbe wanakusubiri wewe ndiyo usimamie kila kitu watu hata aibu hawana.Kuliko kuwaepuka kabisa, weka mipaka ambayo mtu yeyote hapaswi kuvuka.